PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
basi yaelekea na Polisi nao wamekiona hicho kifungu ikabidi wawe wapole.barafu acha kuandika taarifa za uwongo orijino komedi wameshaomba msamaha kupitia kwa mwenzao Masanja wameachiwa huru ila wapewa onyo wasirudie tena kuvaa zile nguo za polisi bila kuwa kibali maalumu
Maana unapeleka kesi mahakamani unatumia gharama kubwa mwisho wa siku Faini sh 200!!!!!!