PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,175 Aug 19, 2016 #21 Emma. said: barafu acha kuandika taarifa za uwongo orijino komedi wameshaomba msamaha kupitia kwa mwenzao Masanja wameachiwa huru ila wapewa onyo wasirudie tena kuvaa zile nguo za polisi bila kuwa kibali maalumu Click to expand... basi yaelekea na Polisi nao wamekiona hicho kifungu ikabidi wawe wapole. Maana unapeleka kesi mahakamani unatumia gharama kubwa mwisho wa siku Faini sh 200!!!!!!
Emma. said: barafu acha kuandika taarifa za uwongo orijino komedi wameshaomba msamaha kupitia kwa mwenzao Masanja wameachiwa huru ila wapewa onyo wasirudie tena kuvaa zile nguo za polisi bila kuwa kibali maalumu Click to expand... basi yaelekea na Polisi nao wamekiona hicho kifungu ikabidi wawe wapole. Maana unapeleka kesi mahakamani unatumia gharama kubwa mwisho wa siku Faini sh 200!!!!!!