Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Ze comedy hawana mvuto na mda mrefu ka miaka miwili sijaangalia kipindi chao. Tatizo ubunifu zero sasa ukishamkashifu afya ya mtu ndo umeongeza kura za CCM mijitu mingine bwana. Wananchi wanawachora tu kuna watu wazima na wanakufa ghafla usingizi. Wanatukana wakunga na uzazi ungalipo.
Wanalogana tuu wamemtoa mwenzao kafara.joti kwao mlimba niwachawi balaa acha kabisa wandamba