Orijino Komedi wanapokashifu afya ya Lowassa, wamesahau ya mwenzao VENGU?

Orijino Komedi wanapokashifu afya ya Lowassa, wamesahau ya mwenzao VENGU?

Mm yote nitasema lakini afya au kilema cha MTU sitambeza. Yetu macho heri yako walio wazima Na ndugu zao
 
Hivi hawa vibwengo bado wapo wanaishi kwa nguvu ya upepo unapovumia ndipo wanapokwenda.
 
Mkuu hatudharau afya ya mtu.. Kumbuka hatuchagui rais pekee pia tunachagua amiri jeshi mkuu...... Afya ni kigezo ktk kazi yoyote na si urais pekee??

Kwa hiyo kama unachagua Amiri Jeshi mkuu???

Kwani umeambiwa kuwa Amiri Jeshi mkuu ni mwanajeshi au anafanya kazi za jeshi?

Tanzania ina watu wa ajabu sana mmojawapo ni wewe, ninyi ndio mnaoitwa wanyanyapaa...

Mkitoka kwenye afya mtahamia kabila, dini, rangi, kimo nk
 
Yani hapo ilikuwa kama anataka kudondoka et jukwaani wakati anahutubia ila sio fair kabisa yani walivyofanya
 

Attachments

  • 1441995215978.jpg
    1441995215978.jpg
    132.4 KB · Views: 558
  • 1441995385877.jpg
    1441995385877.jpg
    107.5 KB · Views: 540
Somo zuri sana, Njaa inawaponza vijana! Mpaka wanasahau kuwa kuna muumba!
 
Masanja.si ameokoka au.anawezaje kumdhihaki lowasa mgonjwa.wao wameongea na mungu.
 
Wanataka tafuta umaarufu coz tushawasahau...badala yake ndo wanadharaulika.
 
Hivi akina masanja bado wapo ..masanja kuna siku nilimuona twitter akitukana..hadi nikafikiri je huyu ni mchungaji nayemfahamu..tena matusi ya nguoni..ama kweli njaa mbaya
 
Kuanzia ss kwangu huo uchafu hakuna tena, wao wanajiona ni wazima leo but kesho watalia, nyambaf..!!
 
Hili jambo lilisababisha Majuzi nikaleftishwa kwenye group la whatsup. Yaani kuna ushabiki wa hatari sana, nilishangaa watu wazima wenzangu wakishabikia afya ya mzee wa watu! ! Nakumbuka nilikuwa mkali kama pilipili nawaambia hawaelewi nilijikuta nimewatukana matusi mazito watu wazima tena wengine zaidi yangu. Mi sio mshabiki wa EL lakini najua ninini Ugonjwa na kwetu kuna wakubwa!

Wewe ni mnafiki tu, huna lolote,,Lowasa ndio rais wetu ajae
 
Acheni unafiki nyinyi ukawa... Kazi ya urais sio lelemama inahitaji mtu ambaye ni energetic physically and mentally.... Sasa mnaelimishwa kwamba mtu wenu mgonjwa hamuelew.. Hongera original comedy nyinyi msipowapenda sisi tunawapenda
 
Hii nchi watu wapuuzi... hata kama wasingekuwa na mwenzao kitandani, suala la kufanya mzaha na afya ya mtu ni ujinga uliopitiliza! Ila ndugu yangu Chinga One ndo maana sie wengine hizi siasa zenu tunajionea ujinga mtupu! OK wanafahamika tangu hapo ni wapuuzi tu! Lakini hata wale ambao hatukuwadhani kwamba nao ni wapuuzi nao wanaendesha upuuzi ule ule! Lakini kwa vile siasa zenu zenyewe hizi zimeshamiri maji taka, basi hata huyo Lowassa angesimama kwa tiketi ya CCM, upuuzi huu unaofanywa sasa na CCM dhidi ya afya ya Lowassa ungefanywa na UKAWA dhidi ya huyo huyo EL au mwingine yeyote endapo angekuwa na matatizo sawa na EL na yupo upande wa CCM!

Nakumbuka Mrema kakashifiwa sana hususani hapa JF kutokana na maradhi yake na waliokuwa wanamkashifu majority ni wana-CHADEMA! Nakumbuka enzi zile ni mashabiki wa CCM ndio waliokuwa wanajifanya kumjua Mungu na kuwaona mashabiki wa upinzani wanakufuru kumnyanyapaa Mrema kwa ajili ya afya yake!!! Yaani nyinyi watu wa siasa na wafuasi wenu ni tatizo kweli kweli nchi hii!
 
Hata Wema na Steve nao wamefanya upumbavu huo...hivi kweli Wema ni mzima? Hivi kweli Steve Nyerere ni mzima?

Steve Nyerere anaugua miwa.ya.
Na wala hatumbezi wala kumchukia.
Wema ana nundu kama la ngamia mgongoni, ni wakati tu utafika litakapo kuja kuwa malignant tumour.
 
Back
Top Bottom