bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Kwa hiyo Amiri Jeshi hawatakiwi kuumwa? Mbona JK aliumwa tezi dume mpaka akafanyiwa operation?
Mkuu hatudharau afya ya mtu.. Kumbuka hatuchagui rais pekee pia tunachagua amiri jeshi mkuu...... Afya ni kigezo ktk kazi yoyote na si urais pekee??
Ehee! Hivi kumbe ngiri ndio tezi dume?
Sasa mnataka tupeleke maiti ikulu,si Wote tutaonekana we hu na majuha!!!.
Hili jambo lilisababisha Majuzi nikaleftishwa kwenye group la whatsup. Yaani kuna ushabiki wa hatari sana, nilishangaa watu wazima wenzangu wakishabikia afya ya mzee wa watu! ! Nakumbuka nilikuwa mkali kama pilipili nawaambia hawaelewi nilijikuta nimewatukana matusi mazito watu wazima tena wengine zaidi yangu. Mi sio mshabiki wa EL lakini najua ninini Ugonjwa na kwetu kuna wakubwa!
Hata Wema na Steve nao wamefanya upumbavu huo...hivi kweli Wema ni mzima? Hivi kweli Steve Nyerere ni mzima?