Orlando Pirates na RS Berkane wanacheza final ya champions ingawa zote zilifungwa kwa Mkapa. Hii ina maana gani?

Orlando Pirates na RS Berkane wanacheza final ya champions ingawa zote zilifungwa kwa Mkapa. Hii ina maana gani?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF.

Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za Afrika?
 
Simba uwanja wa Taifa haishindi kwakua ni timu Bora, inashinda Kwa hongo na ulozi wa kiwango Cha juu (JUJU) na Kama awata jikita katika uwekezaji na utaalamu, wataendelea kubaki hivyo Kwa miaka mingi.
 
Mara nyingi timu zinazoicheza na simba zinafika fainali.

Kuna sehemu simba inabidi kujiupdate, ikiweza kuwa inapata matokeo mazuri ugenini, fainali itawahusu.
Gemu zote za away tungekuwa tuna zi approach kama tulivyocheza na orlando tungefika mbali.

Sema na fitna za nje ya uwanja Ni muhimu sana kuzi zidisha. Wenzetu waarabu wanatuzidi hapa.
 
Mara nyingi timu zinazoicheza na simba zinafika fainali.

Kuna sehemu simba inabidi kujiupdate, ikiweza kuwa inapata matokeo mazuri ugenini, fainali itawahusu.
Sasa ulitaka wacheze na nani ili wafike fainali, wakati nanyi mko humo kwenye michuano?? Mbona mnatoa arguments za KIPUMBAVU kiasi hiki.
 
Ujinga ni kujisifu Kwa watu "unaona huyo jamaa anaendesha V8" tumesoma naye na alikuwa rafiki yangu sana na hata namba yake ya Simu ninayo,mnabisha nimpigie? Wakati huo uko choka mbaya hata uhakika wa kula huna
 
Back
Top Bottom