Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimu huu tu! Simba ni misimu yote aliyoshiriki mashindano ya caf amekuwa na trend hiyo. Msimu uliopita alipewa viporo vingi na TFF visivyokuwa na maelezo, msimu huu imekuja na vitochi na kuwasha moto uwanjani pamoja na mitikas mingine. Pamoja na hayo aliowafunga ndo waliocheza finalVillareal kamwondoa Bayern msimu huu
Pale alionewa wazi waziJirani yetu Mazembe kasiginwa nne na Rs Barkane,dah!!,mpira unamaajabu sana.
Siku zote simba hategemei jitihada za timu ndani ya uwanja yeye hutegemea uchawi na figusu za nje ya uwanja,kununua waamuziMara nyingi timu zinazoicheza na simba zinafika fainali.
Kuna sehemu simba inabidi kujiupdate, ikiweza kuwa inapata matokeo mazuri ugenini, fainali itawahusu.