Orlando Pirates na RS Berkane wanacheza final ya champions ingawa zote zilifungwa kwa Mkapa. Hii ina maana gani?

Orlando Pirates na RS Berkane wanacheza final ya champions ingawa zote zilifungwa kwa Mkapa. Hii ina maana gani?

Villareal kamwondoa Bayern msimu huu
Msimu huu tu! Simba ni misimu yote aliyoshiriki mashindano ya caf amekuwa na trend hiyo. Msimu uliopita alipewa viporo vingi na TFF visivyokuwa na maelezo, msimu huu imekuja na vitochi na kuwasha moto uwanjani pamoja na mitikas mingine. Pamoja na hayo aliowafunga ndo waliocheza final
 
Mara nyingi timu zinazoicheza na simba zinafika fainali.

Kuna sehemu simba inabidi kujiupdate, ikiweza kuwa inapata matokeo mazuri ugenini, fainali itawahusu.
Siku zote simba hategemei jitihada za timu ndani ya uwanja yeye hutegemea uchawi na figusu za nje ya uwanja,kununua waamuzi
 
Siku zote simba hategemei jitihada za timu ndani ya uwanja yeye hutegemea uchawi na figusu za nje ya uwanja,kununua waamuzi
Eti kwa Mkapa hatoki mtu! Waamuzi, uchawi na kupuliza kwenye chumba Cha mpinzani
 
Back
Top Bottom