Simba uwanja wa Taifa haishindi kwakua ni timu Bora, inashinda Kwa hongo na ulozi wa kiwango Cha juu (JUJU) na Kama awata jikita katika uwekezaji na utaalamu, wataendelea kubaki hivyo Kwa miaka mingi.Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF.
Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za Afrika?
Nyie ambao hamtumia vitu ivo mmefika hatua ganiSimba uwanja wa Taifa haishindi kwakua ni timu Bora, inashinda Kwa hongo na ulozi wa kiwango Cha juu (JUJU) na Kama awata jikita katika uwekezaji na utaalamu, wataendelea kubaki hivyo Kwa miaka mingi.
Wanamgombea Morris Ben huku wanamlilia.Nyie ambao hamtumia vitu ivo mmefika hatua gani
Gemu zote za away tungekuwa tuna zi approach kama tulivyocheza na orlando tungefika mbali.Mara nyingi timu zinazoicheza na simba zinafika fainali.
Kuna sehemu simba inabidi kujiupdate, ikiweza kuwa inapata matokeo mazuri ugenini, fainali itawahusu.
Tatizo la Simba ni kushindwa kuisahau Yanga katika kila mechi zake. Wanajidanganya wenyewe kwa false wins.Mara nyingi timu zinazoicheza na simba zinafika fainali.
Kuna sehemu simba inabidi kujiupdate, ikiweza kuwa inapata matokeo mazuri ugenini, fainali itawahusu.
Sasa ulitaka wacheze na nani ili wafike fainali, wakati nanyi mko humo kwenye michuano?? Mbona mnatoa arguments za KIPUMBAVU kiasi hiki.Mara nyingi timu zinazoicheza na simba zinafika fainali.
Kuna sehemu simba inabidi kujiupdate, ikiweza kuwa inapata matokeo mazuri ugenini, fainali itawahusu.
huku yanga wakipigwa nje ndani hatua za awali kombe hilo hiliTatizo la Simba ni kushindwa kuisahau Yanga katika kila mechi zake. Wanajidanganya wenyewe kwa false wins.
Shabiki chapatiNyie ambao hamtumia vitu ivo mmefika hatua gani
Wanadhani ndio atawafikisha robo fainaliWanamgombea Morris Ben huku wanamlilia.
Maajabu kweli, kila ikicheza na klabu yoyote kwenye hiyo michuano, inakuja kuzomea YANGA kama vile ndiyo ilikuwa inacheza nayo [emoji16]Tatizo la Simba ni kushindwa kuisahau Yanga katika kila mechi zake. Wanajidanganya wenyewe kwa false wins.
Huna hoja ya mashiko, ume coment kishabiki sanaSimba uwanja wa Taifa haishindi kwakua ni timu Bora, inashinda Kwa hongo na ulozi wa kiwango Cha juu (JUJU) na Kama awata jikita katika uwekezaji na utaalamu, wataendelea kubaki hivyo Kwa miaka mingi.
Hoja kali sana hii naiiwekea lamination, wewe kweli mpenzi wa mpira wengi wana coment lakini mpira kwake hafuatili mara kwa maraMara nyingi timu zinazoicheza na simba zinafika fainali.
Kuna sehemu simba inabidi kujiupdate, ikiweza kuwa inapata matokeo mazuri ugenini, fainali itawahusu.
Ndiyo mawazo yao yalivyo.Na hata wakinzani wa Simba walivyokuja Tanzania wakawadanganya hivyohivyo.Huna hoja ya mashiko, ume coment kishabiki sana