Orodha halisi ya nchi 90 zinazoongoza kwa matukio ya utekaji nyara, kuumizwa, na mauaji kulingana na data mbalimbali za kimataifa za uhalifu

Mpaka sasa hujaweka link ya source.

Wewe muongomuongo tu.
 
Colombia ni ya 40? Tanzania haipo? Duh!
Mkuu,

Colombia ina historia ndefu ya biashara ya madawa ya kulevya na vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Huko ndiko alikotokea Pablo Escobar.

Hivi Watanzania mmeanza utekaji jana mnajiona na nyie mnatekana sana kaangalie documenyaries za maisha ya Pablo uone Colombia walivyotekana nankuuana kuanzia miaka ya 1980s huko.

Colombia ilifikia wakati wafanya biashara ya madawa ya kulevya walikuwa na majeshi yana silaha nzuri kuliko wanajeshi wa serikali.
 
Kaka hujanielewa . Nimeshangaa kuiona Colombia ipo nafasi ya 40,Wakati nilidhani inaongoza pamoja na Mexico . Pia kwa kipindi hiki nimeshangaa kwanini Tanzania haipo sio kuilinganisha na Colombia.
 
Kaka hujanielewa . Nimeshangaa kuiona Colombia ipo nafasi ya 40,Wakati nilidhani inaongoza pamoja na Mexico . Pia kwa kipindi hiki nimeshangaa kwanini Tanzania haipo sio kuilinganisha na Colombia.
Tz labda ni ya 91
 
Kaka hujanielewa . Nimeshangaa kuiona Colombia ipo nafasi ya 40,Wakati nilidhani inaongoza pamoja na Mexico . Pia kwa kipindi hiki nimeshangaa kwanini Tanzania haipo?
Baada ya kutuma nikakuelewa kuhusu Colombia.

Ila pia Tanzania watu wanaona kuna utekaji mkubwa sana lakini ukiilinganisha kimataifa bado sana.

Ni kweli kuna utekaji, ni kweli utekaji ni mbaya, ni kweli utekaji hautakiwi kuwapo kabisa, ila nahisi Watanzania wanaona Tanzania kuna utekaji zaidi ya nchi nyingine wakati kuna nchi nyingi zimetupita kwenye utekaji.
 
Hii orodha ni batili,
1. Kuna Rwanda 2 yaani 20 na 27
2. Kama Tanzania haipo basi mleta uzi ni team Chura kiziwi
Mtoa mada kajitahidi kufix.. kati ya hizo namba lazima Tanzania iwemo
 
Mmmhh tumeonewa sana,tumedhulumiwa nafasi yetu aisee ,tuskubali ili jamboa kabsaa
 
Habari mbaya sana hii kwa chapadomozzzs

Wazee wa filmee
 
Walete list ingine ya utekaji na mauaji kwa malengo ya kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…