Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Weka source ya habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa hujaweka link ya source.Kulingana na RIPOTI KUTOKA OFFICE OF HIGH COMMISSIONER FOR HUMAN RIGHTS (OHCHR)ambayo ni ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na kukuza na kulinda haki za binadamu duniani ikiwa inasimamia utekelezaji wa mkataba wa kimataifa wa haki za binadamu na na kusaidia nchi wanachama katika kuimarisha mifumo ya haki za binadamu.
Na kulingana na ripoti kutoka International commission on missing person,(ICMP) hii ni taasisi ya kimataifa inayofanya kazi ya kusaidia familia na serikali katika kutafuta watu waliopotea kutokana na migogoro,majanga ya asili,au ukiukwaji wa haki za binadamu kama vile kutoweka kwa lazima.
ICMP imekuwa imekuwa ikisaidia katika utafutaji na utambuzi wa mabaki ya watu waliopotea kutumia teknolojia ya utambuzi ya DNA.
HIZI HAPA NI NCHI 100 ZINAZOONGOZA KWA MATUKIO YA WANANCHI KUTEKWA,KUUMIZWA NA KUUWAWA.
1. MEXICO
2. SYRIA
3.NORTH KOREA
4. PAKISTAN
5. BANGLADESH
6. EGYPT
7. TURKEY
8. VENEZUELA
9. AFGHANISTAN
10. BRAZIL
11. PERU
12.ARGENTINA
13. CHINA
14. TAJIKISTAN
15. SUDAN
16. THAILAND
17. SRI LANKA
18. SOMALIA
19. SOUTH SUDAN
20. RWANDA
21. MYNAMAR
22. NIGERIA
23. LIBYA
24. LEBANON
25. IRAQ
26. PHILIPPINES
27. RWANDA
28. KYRGYZSTAN
29. INDONESIA
30. IRAN
31. ISRAEL
32. INDIA
33. HONDURAS
34. RUSSIA
36. GUATAMELA
37. ETHIOPIA
38. KENYA
39. ERITREA
40. COLOMBIA
41. EL SALVADOR
42. CHAD
43. DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO
44. BURUNDI
45. CENTRAL AFRICA REPUBLIC
46. NEPAL
47. MONGOLIA
48. MOZAMBIQUE
49. PAPUA NEW GUINEA
50. OMAN
51. MOLDOVA
52. HAITI
53. JORDAN
54. MOROCCO
55. ESWATINI
56. ZIMBABWE
57. UKRAINE
58. SENEGAL
59. SERBIA
60. MALAWI
61. JAMAICA
62. LIBERIA
63. JORDAN
64. IVORY COAST
65. COMOROS
66. ECUDOR
67. NIGER
68. SIERA LIONE
69. CAMBODIA
70. LAOS
71. VEITNAM
72. YEMEN
73. NICARAGUA
74. SURINAME
75. BOSNIA AND HERZEGOVINA
76. BERALUS
77. ALGERIA
78. CAMEROON
79. SOUTH AFRICA
80. UGANDA
81. SAUD ARABIA
82. BARHAIN
83. BURKINA FASO
84. QUTAR
85. UBEZKSTAN
86. SINGAPORE
85. TUNISIA
86. UNITED ARAB EMIRATES
87. MALI
88. ITALY
89. MAURITANIA
90. UNITED STATE OF AMERICA
Mkuu,Colombia ni ya 40? Tanzania haipo? Duh!
Kwani kuna TANZANIA ngapi dunianiUnaulizia Tz ya mamako?
Kaka hujanielewa . Nimeshangaa kuiona Colombia ipo nafasi ya 40,Wakati nilidhani inaongoza pamoja na Mexico . Pia kwa kipindi hiki nimeshangaa kwanini Tanzania haipo sio kuilinganisha na Colombia.Mkuu,
Colombia ina historia ndefu ya biashara ya madawa ya kulevya na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Huko ndiko alikotokea Pablo Escobar.
Hivi Watanzania mmeanza utekaji jana mnajiona na nyie mnatekana sana kaangalie documenyaries za maisha ya Pablo uone Colombia walivyotekana nankuuana kuanzia miaka ya 1980s huko.
Colombia ilifikia wakati wafanya biashara ya madawa ya kulevya walikuwa na majeshi yana silaha nzuri kuliko wanajeshi wa serikali.
Tz labda ni ya 91Kaka hujanielewa . Nimeshangaa kuiona Colombia ipo nafasi ya 40,Wakati nilidhani inaongoza pamoja na Mexico . Pia kwa kipindi hiki nimeshangaa kwanini Tanzania haipo sio kuilinganisha na Colombia.
Baada ya kutuma nikakuelewa kuhusu Colombia.Kaka hujanielewa . Nimeshangaa kuiona Colombia ipo nafasi ya 40,Wakati nilidhani inaongoza pamoja na Mexico . Pia kwa kipindi hiki nimeshangaa kwanini Tanzania haipo?
Mtoa mada kajitahidi kufix.. kati ya hizo namba lazima Tanzania iwemoHii orodha ni batili,
1. Kuna Rwanda 2 yaani 20 na 27
2. Kama Tanzania haipo basi mleta uzi ni team Chura kiziwi
Mmmhh tumeonewa sana,tumedhulumiwa nafasi yetu aisee ,tuskubali ili jamboa kabsaaKulingana na RIPOTI KUTOKA OFFICE OF HIGH COMMISSIONER FOR HUMAN RIGHTS (OHCHR)ambayo ni ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na kukuza na kulinda haki za binadamu duniani ikiwa inasimamia utekelezaji wa mkataba wa kimataifa wa haki za binadamu na na kusaidia nchi wanachama katika kuimarisha mifumo ya haki za binadamu.
Na kulingana na ripoti kutoka International commission on missing person,(ICMP) hii ni taasisi ya kimataifa inayofanya kazi ya kusaidia familia na serikali katika kutafuta watu waliopotea kutokana na migogoro,majanga ya asili,au ukiukwaji wa haki za binadamu kama vile kutoweka kwa lazima.
ICMP imekuwa imekuwa ikisaidia katika utafutaji na utambuzi wa mabaki ya watu waliopotea kutumia teknolojia ya utambuzi ya DNA.
HIZI HAPA NI NCHI 100 ZINAZOONGOZA KWA MATUKIO YA WANANCHI KUTEKWA,KUUMIZWA NA KUUWAWA.
1. MEXICO
2. SYRIA
3.NORTH KOREA
4. PAKISTAN
5. BANGLADESH
6. EGYPT
7. TURKEY
8. VENEZUELA
9. AFGHANISTAN
10. BRAZIL
11. PERU
12.ARGENTINA
13. CHINA
14. TAJIKISTAN
15. SUDAN
16. THAILAND
17. SRI LANKA
18. SOMALIA
19. SOUTH SUDAN
20. RWANDA
21. MYNAMAR
22. NIGERIA
23. LIBYA
24. LEBANON
25. IRAQ
26. PHILIPPINES
27. RWANDA
28. KYRGYZSTAN
29. INDONESIA
30. IRAN
31. ISRAEL
32. INDIA
33. HONDURAS
34. RUSSIA
36. GUATAMELA
37. ETHIOPIA
38. KENYA
39. ERITREA
40. COLOMBIA
41. EL SALVADOR
42. CHAD
43. DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO
44. BURUNDI
45. CENTRAL AFRICA REPUBLIC
46. NEPAL
47. MONGOLIA
48. MOZAMBIQUE
49. PAPUA NEW GUINEA
50. OMAN
51. MOLDOVA
52. HAITI
53. JORDAN
54. MOROCCO
55. ESWATINI
56. ZIMBABWE
57. UKRAINE
58. SENEGAL
59. SERBIA
60. MALAWI
61. JAMAICA
62. LIBERIA
63. JORDAN
64. IVORY COAST
65. COMOROS
66. ECUDOR
67. NIGER
68. SIERA LIONE
69. CAMBODIA
70. LAOS
71. VEITNAM
72. YEMEN
73. NICARAGUA
74. SURINAME
75. BOSNIA AND HERZEGOVINA
76. BERALUS
77. ALGERIA
78. CAMEROON
79. SOUTH AFRICA
80. UGANDA
81. SAUD ARABIA
82. BARHAIN
83. BURKINA FASO
84. QUTAR
85. UBEZKSTAN
86. SINGAPORE
85. TUNISIA
86. UNITED ARAB EMIRATES
87. MALI
88. ITALY
89. MAURITANIA
90. UNITED STATE OF AMERICA
Tusubiri ripoti ya 2030Mmmhh tumeonewa sana,tumedhulumiwa nafasi yetu aisee ,tuskubali ili jamboa kabsaa
Naye yule ni mbwa wa bi mdashiUnamaanisha huyu Lucas Mwashambwa ?
Ila weweNaye yule ni mbwa wa bi mdashi
Nilijua vilaza lazima wakataeKama Tanzania haipo top 10 hii ripoti ni batili
Habari mbaya sana hii kwa chapadomozzzsKulingana na RIPOTI KUTOKA OFFICE OF HIGH COMMISSIONER FOR HUMAN RIGHTS (OHCHR)ambayo ni ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na kukuza na kulinda haki za binadamu duniani ikiwa inasimamia utekelezaji wa mkataba wa kimataifa wa haki za binadamu na na kusaidia nchi wanachama katika kuimarisha mifumo ya haki za binadamu.
Na kulingana na ripoti kutoka International commission on missing person,(ICMP) hii ni taasisi ya kimataifa inayofanya kazi ya kusaidia familia na serikali katika kutafuta watu waliopotea kutokana na migogoro,majanga ya asili,au ukiukwaji wa haki za binadamu kama vile kutoweka kwa lazima.
ICMP imekuwa imekuwa ikisaidia katika utafutaji na utambuzi wa mabaki ya watu waliopotea kutumia teknolojia ya utambuzi ya DNA.
HIZI HAPA NI NCHI 100 ZINAZOONGOZA KWA MATUKIO YA WANANCHI KUTEKWA,KUUMIZWA NA KUUWAWA.
1. MEXICO
2. SYRIA
3.NORTH KOREA
4. PAKISTAN
5. BANGLADESH
6. EGYPT
7. TURKEY
8. VENEZUELA
9. AFGHANISTAN
10. BRAZIL
11. PERU
12.ARGENTINA
13. CHINA
14. TAJIKISTAN
15. SUDAN
16. THAILAND
17. SRI LANKA
18. SOMALIA
19. SOUTH SUDAN
20. RWANDA
21. MYNAMAR
22. NIGERIA
23. LIBYA
24. LEBANON
25. IRAQ
26. PHILIPPINES
27. RWANDA
28. KYRGYZSTAN
29. INDONESIA
30. IRAN
31. ISRAEL
32. INDIA
33. HONDURAS
34. RUSSIA
36. GUATAMELA
37. ETHIOPIA
38. KENYA
39. ERITREA
40. COLOMBIA
41. EL SALVADOR
42. CHAD
43. DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO
44. BURUNDI
45. CENTRAL AFRICA REPUBLIC
46. NEPAL
47. MONGOLIA
48. MOZAMBIQUE
49. PAPUA NEW GUINEA
50. OMAN
51. MOLDOVA
52. HAITI
53. JORDAN
54. MOROCCO
55. ESWATINI
56. ZIMBABWE
57. UKRAINE
58. SENEGAL
59. SERBIA
60. MALAWI
61. JAMAICA
62. LIBERIA
63. JORDAN
64. IVORY COAST
65. COMOROS
66. ECUDOR
67. NIGER
68. SIERA LIONE
69. CAMBODIA
70. LAOS
71. VEITNAM
72. YEMEN
73. NICARAGUA
74. SURINAME
75. BOSNIA AND HERZEGOVINA
76. BERALUS
77. ALGERIA
78. CAMEROON
79. SOUTH AFRICA
80. UGANDA
81. SAUD ARABIA
82. BARHAIN
83. BURKINA FASO
84. QUTAR
85. UBEZKSTAN
86. SINGAPORE
85. TUNISIA
86. UNITED ARAB EMIRATES
87. MALI
88. ITALY
89. MAURITANIA
90. UNITED STATE OF AMERICA
Hii ni edited.Pambafff no 20 & 27 zote ni Rwanda, kwamba kuna Rwanda iliyopo Senegal na Rwanda ya Venezuela? Tittle nchi 100 ,umeweka 90..kizimkaziiii wahed
Kwanini Tanzania haipo? Au waliosimamia huu utafiti ni polisi wa ccm?Hii ni edited.