Orodha halisi ya nchi 90 zinazoongoza kwa matukio ya utekaji nyara, kuumizwa, na mauaji kulingana na data mbalimbali za kimataifa za uhalifu

Takwimu za mwaka gani? Kama zingekuwa za kuanzia mwaka jana, Tanzania ingepaswa kuwemo kwenye orodha.
 
Nchi zinajirudia mara 2 mathalan Jordan na Rwanda.
 
Kwa hiyo Tanzania ni ya ngapi???😳
Ya kwanza duniani,ya kwanza Afrika ila kwa hapa nyumbani chura kiziwi kashajiziba masikio kwamba kote huko tunaongoza ila kwa nyumbani bado hatupo kwenye listi.
 
Umetumwa na ccm au?? Mbn nchi ya mama kizimkazi haipo huu ni uhuni
 
Tanzania 🇹🇿 mbona haipo, Ilitakiw iwe 5 bora kwa Hali inayoendelea sasa
 
Hii ni edited.
Hakuna edited ndiyo ripoti tatizo mpo kwenye angle moja ya siasa wakati hapa kuna mambo ya madawa ya kulevya,kusalitiana,kuchukuliana wake,dhulma na mengineyo siasa ni sehemu ndogo tu
 
Ya kwanza duniani,ya kwanza Afrika ila kwa hapa nyumbani chura kiziwi kashajiziba masikio kwamba kote huko tunaongoza ila kwa nyumbani bado hatupo kwenye listi.
Acha uzushi
 
Sisi mitandao imeanza kushika kasi hivyo habari zinasambaa kuliko hapo awali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…