Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Report fake, angalia RWANDA iko mara mbili.Ripoti ya mwaka gani hiyo?
Halafu weka link ya ripoti tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Report fake, angalia RWANDA iko mara mbili.Ripoti ya mwaka gani hiyo?
Halafu weka link ya ripoti tuone
Takwimu za mwaka gani? Kama zingekuwa za kuanzia mwaka jana, Tanzania ingepaswa kuwemo kwenye orodha.Kulingana na RIPOTI KUTOKA OFFICE OF HIGH COMMISSIONER FOR HUMAN RIGHTS (OHCHR)ambayo ni ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na kukuza na kulinda haki za binadamu duniani ikiwa inasimamia utekelezaji wa mkataba wa kimataifa wa haki za binadamu na na kusaidia nchi wanachama katika kuimarisha mifumo ya haki za binadamu.
Na kulingana na ripoti kutoka International commission on missing person,(ICMP) hii ni taasisi ya kimataifa inayofanya kazi ya kusaidia familia na serikali katika kutafuta watu waliopotea kutokana na migogoro,majanga ya asili,au ukiukwaji wa haki za binadamu kama vile kutoweka kwa lazima.
ICMP imekuwa imekuwa ikisaidia katika utafutaji na utambuzi wa mabaki ya watu waliopotea kutumia teknolojia ya utambuzi ya DNA.
HIZI HAPA NI NCHI 100 ZINAZOONGOZA KWA MATUKIO YA WANANCHI KUTEKWA,KUUMIZWA NA KUUWAWA.
1. MEXICO
2. SYRIA
3.NORTH KOREA
4. PAKISTAN
5. BANGLADESH
6. EGYPT
7. TURKEY
8. VENEZUELA
9. AFGHANISTAN
10. BRAZIL
11. PERU
12.ARGENTINA
13. CHINA
14. TAJIKISTAN
15. SUDAN
16. THAILAND
17. SRI LANKA
18. SOMALIA
19. SOUTH SUDAN
20. RWANDA
21. MYNAMAR
22. NIGERIA
23. LIBYA
24. LEBANON
25. IRAQ
26. PHILIPPINES
27. RWANDA
28. KYRGYZSTAN
29. INDONESIA
30. IRAN
31. ISRAEL
32. INDIA
33. HONDURAS
34. RUSSIA
36. GUATAMELA
37. ETHIOPIA
38. KENYA
39. ERITREA
40. COLOMBIA
41. EL SALVADOR
42. CHAD
43. DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO
44. BURUNDI
45. CENTRAL AFRICA REPUBLIC
46. NEPAL
47. MONGOLIA
48. MOZAMBIQUE
49. PAPUA NEW GUINEA
50. OMAN
51. MOLDOVA
52. HAITI
53. JORDAN
54. MOROCCO
55. ESWATINI
56. ZIMBABWE
57. UKRAINE
58. SENEGAL
59. SERBIA
60. MALAWI
61. JAMAICA
62. LIBERIA
63. JORDAN
64. IVORY COAST
65. COMOROS
66. ECUDOR
67. NIGER
68. SIERA LIONE
69. CAMBODIA
70. LAOS
71. VEITNAM
72. YEMEN
73. NICARAGUA
74. SURINAME
75. BOSNIA AND HERZEGOVINA
76. BERALUS
77. ALGERIA
78. CAMEROON
79. SOUTH AFRICA
80. UGANDA
81. SAUD ARABIA
82. BARHAIN
83. BURKINA FASO
84. QUTAR
85. UBEZKSTAN
86. SINGAPORE
85. TUNISIA
86. UNITED ARAB EMIRATES
87. MALI
88. ITALY
89. MAURITANIA
90. UNITED STATE OF AMERICA
Hata Burundi.Report fake, angalia RWANDA iko mara mbili.
Nchi zinajirudia mara 2 mathalan Jordan na Rwanda.Kulingana na RIPOTI KUTOKA OFFICE OF HIGH COMMISSIONER FOR HUMAN RIGHTS (OHCHR)ambayo ni ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na kukuza na kulinda haki za binadamu duniani ikiwa inasimamia utekelezaji wa mkataba wa kimataifa wa haki za binadamu na na kusaidia nchi wanachama katika kuimarisha mifumo ya haki za binadamu.
Na kulingana na ripoti kutoka International commission on missing person,(ICMP) hii ni taasisi ya kimataifa inayofanya kazi ya kusaidia familia na serikali katika kutafuta watu waliopotea kutokana na migogoro,majanga ya asili,au ukiukwaji wa haki za binadamu kama vile kutoweka kwa lazima.
ICMP imekuwa imekuwa ikisaidia katika utafutaji na utambuzi wa mabaki ya watu waliopotea kutumia teknolojia ya utambuzi ya DNA.
HIZI HAPA NI NCHI 100 ZINAZOONGOZA KWA MATUKIO YA WANANCHI KUTEKWA,KUUMIZWA NA KUUWAWA.
1. MEXICO
2. SYRIA
3.NORTH KOREA
4. PAKISTAN
5. BANGLADESH
6. EGYPT
7. TURKEY
8. VENEZUELA
9. AFGHANISTAN
10. BRAZIL
11. PERU
12.ARGENTINA
13. CHINA
14. TAJIKISTAN
15. SUDAN
16. THAILAND
17. SRI LANKA
18. SOMALIA
19. SOUTH SUDAN
20. RWANDA
21. MYNAMAR
22. NIGERIA
23. LIBYA
24. LEBANON
25. IRAQ
26. PHILIPPINES
27. RWANDA
28. KYRGYZSTAN
29. INDONESIA
30. IRAN
31. ISRAEL
32. INDIA
33. HONDURAS
34. RUSSIA
36. GUATAMELA
37. ETHIOPIA
38. KENYA
39. ERITREA
40. COLOMBIA
41. EL SALVADOR
42. CHAD
43. DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO
44. BURUNDI
45. CENTRAL AFRICA REPUBLIC
46. NEPAL
47. MONGOLIA
48. MOZAMBIQUE
49. PAPUA NEW GUINEA
50. OMAN
51. MOLDOVA
52. HAITI
53. JORDAN
54. MOROCCO
55. ESWATINI
56. ZIMBABWE
57. UKRAINE
58. SENEGAL
59. SERBIA
60. MALAWI
61. JAMAICA
62. LIBERIA
63. JORDAN
64. IVORY COAST
65. COMOROS
66. ECUDOR
67. NIGER
68. SIERA LIONE
69. CAMBODIA
70. LAOS
71. VEITNAM
72. YEMEN
73. NICARAGUA
74. SURINAME
75. BOSNIA AND HERZEGOVINA
76. BERALUS
77. ALGERIA
78. CAMEROON
79. SOUTH AFRICA
80. UGANDA
81. SAUD ARABIA
82. BARHAIN
83. BURKINA FASO
84. QUTAR
85. UBEZKSTAN
86. SINGAPORE
85. TUNISIA
86. UNITED ARAB EMIRATES
87. MALI
88. ITALY
89. MAURITANIA
90. UNITED STATE OF AMERICA
edited, imenyofolewa outKwanini Tanzania haipo? Au waliosimamia huu utafiti ni polisi wa ccm?
Tanzania ingekua daladala la kutoka mbagala kwenda kibiti ningeshuka tu kongowe hata kama nauli nimelipa yote...chura kiziwi!edited, imenyofolewa out
Ya kwanza duniani,ya kwanza Afrika ila kwa hapa nyumbani chura kiziwi kashajiziba masikio kwamba kote huko tunaongoza ila kwa nyumbani bado hatupo kwenye listi.Kwa hiyo Tanzania ni ya ngapi???😳
Acha upuuzi wako, eti South Africa ya 79.Tatizo una list yako hata nikukupa link utabisha
Hakuna edited ndiyo ripoti tatizo mpo kwenye angle moja ya siasa wakati hapa kuna mambo ya madawa ya kulevya,kusalitiana,kuchukuliana wake,dhulma na mengineyo siasa ni sehemu ndogo tuHii ni edited.
Hata ningeweka 500 bora bado isingekuwepo Tanzania ni tulivu sanaTanzania 🇹🇿 mbona haipo, Ilitakiw iwe 5 bora kwa Hali inayoendelea sasa
Haipo kweli mkuu aminiUmetumwa na ccm au?? Mbn nchi ya mama kizimkazi haipo huu ni uhuni
Yah siyo mm ni report mm nimewasilisha tuAcha upuuzi wako, eti South Africa ya 79.
Pumbafffff
Ya sa100 mkuuNchi gan hiyo mkuu
Acha uzushiYa kwanza duniani,ya kwanza Afrika ila kwa hapa nyumbani chura kiziwi kashajiziba masikio kwamba kote huko tunaongoza ila kwa nyumbani bado hatupo kwenye listi.
Nadhani kwenye mia sita na ushee ukoKwa hiyo Tanzania ni ya ngapi???😳