Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Bunge lina sehemu mbili
National Assembly + president = parliament
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge lina sehemu mbili
eti jamani hapa prof. muhongo na prof. tibaijuka, mghembe nao wanaitwa viraza sikukosa heshima kwa hawa wasomiJamani, et kiraza! mmhh... huu uandishi huu..!
Hapo aliye haribu hiyo list ni lusinde wengine hapo ni wasomiNg'ombe nyingi sana humu. Hivi unawasemaje akina Tiba, Muhongo, Makamba, Bashe, Maghembe, Lusinde kwamba siyo wasomi? Poropoganda za kijinga kabisa hizi!
Bunge lina sehemu mbili
National Assembly + president = parliament
UsiwazeKumbe nilisahau
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
#Say no to lockdown.
#Say no vaccine of COVID-19 To fellow Africans
Kwani aliyepeleka 2015 ni nani?Heshimu watu; hawatarudi kwani wewe ndo uliwapeleka bungeni? Acha majungu fanya kazi, uchaguzi 2020 wewe umekalia majungu waache wabunge watimize majukumu yao,
Ngoja tusubiri tuone.Hata huyo mkuu wa wilaya na TRA kunyanyasa watu wa hai lakini ngojeni kura za hasira
Mpuuzi huyo.... MpuuzeniHeshimu watu; hawatarudi kwani wewe ndo uliwapeleka bungeni? Acha majungu fanya kazi, uchaguzi 2020 wewe umekalia majungu waache wabunge watimize majukumu yao,
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-
1. Mh Nape
2. Mh. Ngeleja
3. Mh Kitwanga
4. Mh. Lusinde (Kibajaji)
5. Mh. Maghembe
6. Mh. Bashe
7. Mh. Nkamia
8. Mh. Sadifa
9. Mh. Simbachawene
10. Mh. Muhongo
11. Mh. January Makamba
12. Mh. Anna Tibaijuka
14. Mh. Kessi Ally
15. Mh. Badweli
Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!
Ndio maana ameamua tu kuwa bize na starehe. Sijui ni stress ama anafurhia matunda ya 8b 😃 😃 😃Mbowe hatarudi bungeni 2020..
No.14 =100%Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-
1. Mh Nape
2. Mh. Ngeleja
3. Mh Kitwanga
4. Mh. Lusinde (Kibajaji)
5. Mh. Maghembe
6. Mh. Bashe
7. Mh. Nkamia
8. Mh. Sadifa
9. Mh. Simbachawene
10. Mh. Muhongo
11. Mh. January Makamba
12. Mh. Anna Tibaijuka
14. Mh. Kessi Ally
15. Mh. Badweli
Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!