Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Lakini pia bila kufichana, mwaka huu wapinzani ni kazi nzito mno kwao kupenya kwenye majimbo ya CCM kuliko CCM kupenya kwenye majimbo Yao, mtanianiambia baada ya uchaguzi
Huo ugumu uko kwa sababu chini ya tume hii Magufuli anaagiza nani atangazwe mshindi. Tunahitaji tume huru ya uchaguzi ili kila mtu ashinde mechi zake. Kinyume na hapo hakuna uchaguzi tunajadili hapa bali ni uhuni kama uhuni mwingine.