Uchaguzi 2020 Orodha kamili ya ambao hawatarudi Bungeni 2020 hii hapa

Uchaguzi 2020 Orodha kamili ya ambao hawatarudi Bungeni 2020 hii hapa

Watanzania sio wajinga. Wana Hai sio wajinga vile vile. Mpinzani hachaguliwi kwasababu ni mpinzani.
Hata huyo mkuu wa wilaya na TRA kunyanyasa watu wa hai lakini ngojeni kura za hasira
 
TL ,Afya ililazimu yeye kuwa nje ya bunge....! Lema na Mabula nao hawaja'perform' kwenye majimbo yao ya uchaguzi ?
TL kinachombeba ni umaarufu na ule uanaharakati wake Ila kiperformance ndani ya Jimbo ni zero, na hao wote niliotaja Hakuna Cha maana wanachofanya kiufupi Wabunge wengi wa Upinzani wanachangamoto sana kwanzA wanafanyiwa figisu sana ili wananchi wengi tukose Imani nao pili wao wenyewe hawako makini na karibu kushughulika na Changamoto zetu sie wapiga kura wao..Unaweza Fanya hata tathmin tu mtizame Mh Halima Mdee na kawe yake Hakuna chamaana wanachofanya

Typed Using KIDOLE
 
Lakini pia bila kufichana, mwaka huu wapinzani ni kazi nzito mno kwao kupenya kwenye majimbo ya CCM kuliko CCM kupenya kwenye majimbo Yao, mtanianiambia baada ya uchaguzi
 
Katika kipindi hiki cha mzee baba nimekaa jimbo la kawe Mdee na sasa nipo ubungo kwa Mnyika nafikiri hawa bila kupepesa macho hawastahili kurudi sijawahi kuona chochote walichokifanya kwenye majimbo yao hata kuitisha tu mkutano na wananchi au kusikiliza kero za wananchi wao hamna kila siku wanasikika tu mara mahakamani mara sijui wamefukuzwa bungeni yaani drama juu ya drama ambazo hazina faida nadhani hawastahili kurudi kabisa
 
Hivi huko mjengoni wanaendaje?? na mie nataka kwenda...
Inategemea uko mkoa/wilaya gani Kama upo Dar/Pwani kamata Shabiby Kama upo Mwanza kamata SATCO utafika Dodoma hatiamae na mjengoni utapaona hata kwa mbali tu mkuu

Typed Using KIDOLE
 
Back
Top Bottom