Uchaguzi 2020 Orodha kamili ya ambao hawatarudi Bungeni 2020 hii hapa

Uchaguzi 2020 Orodha kamili ya ambao hawatarudi Bungeni 2020 hii hapa

kirikuu.com ushajiuliza ni kwa nini majimbo ya Kinondoni na Siha waliosimamishwa kugombea marudio ya uchaguzi mdogo ni wale waliohama kutoka upinzani?

Je, ni kweli CCM haina wagombea wanaokubalika hadi wakubali kusimamisha watu wale wale waliojiuzulu na kuhamia upande wao?

Je, chama cha CCM hakina utaratibu wa kufuata pale wanapotafuta watu wa kugombea nafasi za udiwani au ubunge?
 
Yaani hadi February mara hamumtaki....!
 
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-

1. Mh Nape

2. Mh. Ngeleja

3. Mh Kitwanga

4. Mh. Lusinde (Kibajaji)

5. Mh. Maghembe

6. Mh. Bashe

7. Mh. Nkamia

8. Mh. Sadifa

9. Mh. Simbachawene

10. Mh. Muhongo

11. Mh. January Makamba

12. Mh. Anna Tibaijuka

14. Mh. Kessi Ally

15. Mh. Badweli

Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!
Ng'ombe nyingi sana humu. Hivi unawasemaje akina Tiba, Muhongo, Makamba, Bashe, Maghembe, Lusinde kwamba siyo wasomi? Poropoganda za kijinga kabisa hizi!
 
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-

1. Mh Nape

2. Mh. Ngeleja

3. Mh Kitwanga

4. Mh. Lusinde (Kibajaji)

5. Mh. Maghembe

6. Mh. Bashe

7. Mh. Nkamia

8. Mh. Sadifa

9. Mh. Simbachawene

10. Mh. Muhongo

11. Mh. January Makamba

12. Mh. Anna Tibaijuka

14. Mh. Kessi Ally

15. Mh. Badweli

Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!
Vilaza ni hao maprof wke anaowaamini wa udsm walioingia mkataba kwa 150,000
 
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-

1. Mh Nape

2. Mh. Ngeleja

3. Mh Kitwanga

4. Mh. Lusinde (Kibajaji)

5. Mh. Maghembe

6. Mh. Bashe

7. Mh. Nkamia

8. Mh. Sadifa

9. Mh. Simbachawene

10. Mh. Muhongo

11. Mh. January Makamba

12. Mh. Anna Tibaijuka

14. Mh. Kessi Ally

15. Mh. Badweli

Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!
Mbona huwataji. Mh Mbowe na Tundu Lisu.
 
Hii ina maana asilimia 20 ya wabunge wa CCM walau wanaweza kupata huruma ya chama na wananchi kuweza kurejea mjengoni. Chadema ina wabunge watatu tu ambao walau wananchi wa Mbeya, Ukonga na Bunda bado wana imani nao japo kidogo. Na wale Cuf bado wanakubalika kule kisiwani Pemba ambayo inategemewa kuwa ngome kuu ya upinzani kitaifa baada ya kanda ya kaskazini huku bara kuvurugwa vibaya na CCM. Source mtafiti wa kujitegemea, Mlimani!
 
bora
 
Mpaka sasa hakuna amsha amsha zozote zile za kuonyesha kama huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa serikali.

Mtaani hakuna majadiliano tena kama zamani, "kwamba mimi nitagombea udiwani mwaka huu au fulani atagombea ubunge, fulani hafai tumtimue uchaguzi ukifika tumchukue na kumshawishi fulani agombee na kushika nafasi yake".

Hakuna tena, sio upinzani wala chama dola wote wapo kimya. Kila mtu yuko busy na January, kila mtu yuko busy kukimbizana kutafuta elfu 3 ya kununua kilo ya unga kwa ajili ya familia.

Kila mtu anawaza maisha yake kwanza. Cha kwanza ni vipi ataweza kupata mkate wake wa kila siku, pili watoto watasomaje, tatu na mwisho ni vipi atamtunza mzazi mwenzie na Wazazi wao kwa ujumla.

Jamii haijadili tena siasa kwa kishindo kama zamani ni wachache mno, "Je ile nia yao ya kutaka kuua demokrasia imefanikiwa"?

Mimi sijui ila nafikiri wanaelekea kushinda.

Kikubwa ni kwamba kesho kutwa tu hapo Mhe/Dr/Rais John Pombe Magufuli anakwenda kulivunja Bunge kwa ajili ya kujiandaa kuingia kwenye uchaguzi mkuu kwa maana ya kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais mwenyewe.

Ni nani atatetea kiti chake cha Udiwani/Ubunge/Urais hatujui, na ni nani atapoteza pia hatujui na ni kina nani watakuja baada yao pia hatujui?

Ni karata inachezwa

Uchaguzi 2020.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zero ktk ubora wako,
Kweli wewe jamaa IQ kubwa.

Wa kwanza Kubenea, wa pili Lema, wa tatu Mnyika akijaribu kugombea tena ..., wa nne Halima Mdee, Mbunge wa UKonga, Bulaya, Mbunge wa Temeke, CCM wengi tu hawarudi tena nafikiri watafikia 15 wa CCM.
 
Back
Top Bottom