Uchaguzi 2020 Orodha kamili ya ambao hawatarudi Bungeni 2020 hii hapa

Uchaguzi 2020 Orodha kamili ya ambao hawatarudi Bungeni 2020 hii hapa

Mwaka huu 2020 uchaguzi utakuwa wenye ushindani mkubwa sana zaidi ya mwaka 2015.

Waliopo madarakani wajiandae kujiajiri kama wanavyotoaga ushauri kwa vijana wa vyuo vikuu.

Haaahaaa
Utakuwa na ushindani ndani ya CCM but still mwenye nyota na JPM ndio atakayekuwa mbunge.
 
Kwa ccm wamesema kuongoza kura za maoni sio ticket ya kuteuliwa. Hapo ndio penye utamu. Maana watakaoteuliwa ni wale tu!!!..........
 
Wale wote waliokwazana Na jpm akiwa waziri au rais wasahau kupitishwa Na ccm kuwa wagombea
 
Buyungu - Kakonko hatuna shida ila Christopher Chiza ana kazi kubwa. Uelekeo utajulikana baada ya kura ya maoni
 
Prof Tibaijuka wakati akichangia hoja bungeni tar 3 Apr 2020, ametanabaisha wazi kuwa hatogombea tena ubunge ktk Jimbo la Muleba Kusini.Ametumia fursa hiyo kuaga.

Kama WaTz tunamtakia kheri ktk maisha mapya nje ya Bunge. Sasa bila shaka kuna wabunge wengi hawatarudi mjengoni kutokana na sababu mbali mbali kama kukosa uwajibikaji na kutokuwa na outcome yoyote nzuri kwa wananchi waliomchagua...!

Nani unadhani hatorudi na kwa sababu gani ..? Karibu
 
Back
Top Bottom