Mwenyezimungu aepushie mbali utabiri wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge wote wa Chadema hawatarudi mjengoni!Mpaka sasa hakuna amsha amsha zozote zile za kuonyesha kama huu ni mwaka wa Uchaguzi mkuu wa Serikari,
Mtaani hakuna majadiliano tena kama zamani, "kwamba mimi nitagombea udiwani mwaka huu au fulani atagombea ubunge,
Flani hafai tumtimue uchaguzi ukifika tumchukue na kumshawishi flani Agombee na kushika nafasi yake"
Hakuna tena, Sio Upinzani wala Chama Dola wote wapo kimya. Kila mtu yuko busy na January, kila mtu yuko busy kukimbizana kutafuta elfu 3 ya kununua kilo ya Unga kwa Ajiri ya familia,
Kila mtu anawaza Maisha yake kwanza, Cha kwanza ni vipi ataweza kupata mkate wake wa kila siku, pili watoto watasomaje, Tatu na mwisho ni vipi atamtunza mzazi mwenzie na Wazazi wao kwa ujumla,
Jamii haijadili tena Siasa kwa kishindo kama zamani ni wachache mno"Je ile Nia yao ya kutaka Kuua Demokrasia imefanikiwa"?
Mimi sijui ila nafikiri wanaelekea kushinda.
Kikubwa ni kwamba Kesho kutwa tu hapo mhe/Dr/Raisi John Pombe Magufuri anakwenda kulivunja Bunge kwa Ajiri ya kujiandaa kuingia kwenye Uchaguzi mkuu kwa maana ya kuchagua Madiwani, Wabunge na Raisi mwenyewe.
Ni Nani atatetea kiti chake cha Udiwani/Ubunge/Uraisi hatujui, na ni nani Atapoteza pia hatujui na ni kina nani watakuja baada yao pia hatujui,?
Ni karata inachezwa
Uchaguzi 2020.
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
Au afe yeyeMwenyezimungu aepushie mbali utabiri wako
Ulielewa swali mkuu?Mwigulu Mchemba
Juma Nkania
Nimrodi Mkono
Zito
Lema
Mdee
Mnyika
Kubenea
Sugu
2020
Unapima upepo eenh ! Wewe mwenyewe hautarudi ! Ngoja wakuorodheshe hapo chini mara kibao !Wakati tukielekea joto la uchaguzi wa 2020, tunaamini wapo wabunge wapya watazama mjengoni kwa upande wa CCM na pia tunategemea kwa mfumo uliowekwa na CCM kwa sasa, hali halisi kwa wapiga kura na utendaji wa wabunge kwa kipindi cha miaka mitano 2015_2020 tunaamini wapo wabunge ambao hawatarejea bungeni.
Naomba nilete uzi huu hapa tutaje majina ya wale ambao hawatarejea mbungeni hasa kwa upande wa CCM.
KARIBUNI.
Mwigulu Mchemba
Juma Nkania
Nimrodi Mkono
Zito
Lema
Mdee
Mnyika
Kubenea
Sugu
2020
Nape jeNchambi wa Kishapu Shinyanga
Mwigulu wa Iramba Singida
January Makamba wa Bumbuli
Anaweza kurudi sababu ya kuimarisha mshikamano wa chama kusini na kuwa contain maadui
Pia sababu ya kumuomba Jamaa msamahaAnaweza kurudi sababu ya kuimarisha mshikamano wa chama kusini na kuwa contain maadui