Uchaguzi 2020 Orodha kamili ya ambao hawatarudi Bungeni 2020 hii hapa

Ng'ombe nyingi sana humu. Hivi unawasemaje akina Tiba, Muhongo, Makamba, Bashe, Maghembe, Lusinde kwamba siyo wasomi? Poropoganda za kijinga kabisa hizi!
Hapo aliye haribu hiyo list ni lusinde wengine hapo ni wasomi
 
Heshimu watu; hawatarudi kwani wewe ndo uliwapeleka bungeni? Acha majungu fanya kazi, uchaguzi 2020 wewe umekalia majungu waache wabunge watimize majukumu yao,
Kwani aliyepeleka 2015 ni nani?
 
Heshimu watu; hawatarudi kwani wewe ndo uliwapeleka bungeni? Acha majungu fanya kazi, uchaguzi 2020 wewe umekalia majungu waache wabunge watimize majukumu yao,
Mpuuzi huyo.... Mpuuzeni
 
Jamani tukiwa katika mapimziko nimeleta bandiko hapo juu. Wewe unaona nani harudi na kwasababu gani?. Mimi hawa hapa[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

1. Nape Nnauye
Huyu wengi wanachukia kwasababu ya majigambo ameikomboa ccm. Ushauri asipoteze muda hatarudi.

2. January Makamba
Kama Nape tu

Lete wa kwako hapa
 
joseph musukuma ndiye mbunge pekee mwenye uhakika wa kurudi tena bungeni kwa sababu anaendana na mdundo wa serikali ya awamu ya 5.

mwenyekiti akisema wananchi walale mchana basi yeye huwa wa kwanza kuunga mkono amri kuliko makonda
 

Mathematician and Computer Scientist Charles Kitwanga nae kilaza?? Dunia ina mambo sana hii.. Unakuta muandika uzi form four alipata point 32.. Prof Muhongo nae kilaza?Keyboard inaficha mengi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
No.14 =100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…