Orodha kamili ya makatibu wakuu wa CCM tokea ilipoanzishwa mwaka 1977

Huu uzi wako ni kama unawasema JK, JPM na mama bila kujielewa kana kwamba waliomfuata BWM hawakuwa makini katika chaguzi zao na ndio maana wanabadilisha sana kila kukicha. Si ndio KADA?
 
Hapana mkuu Sidhani kama Uko sahihi..

Mimi Ni KADA wa CCM wa Muda mrefu naweza kukuambia kuwa JK hakubadilisha Sana makatibu wakuu Kama unavyosema Maybe Ungemsema Mama na JPM..

Kwa Jk..

Makamba alichomoka Mwenyewe na Sektretariet yote Japo aliongoza kwa jumla ya Miaka 5 kama Katibu Tangu mwaka 2007 mpaka mwaka 2011
Sababu ya kuchomoka ilikuwa Makamba kufail kwenye Strategies Za uchaguzi wa Mwaka 2010 uliopelekea Majimbo mengi ya Uchaguzi kwenda Upinzani..

Mtikisiko ulitokea kwenye Chama hivyo wao waliamua kujitoa kipindi hicho ndo kulikuwa Na ufisadi mwingi kwenye Chama na Serikali..

Na ukija kumzungumzia Mukama utakumbuka Maswala ya "Vua Gamba" Enzi hizo kama unafatilia siasa kwahyo JK si wa kulaumiwa
 
Shida ni kwamba Sioni mchango wa hayo majina kwenye maendeleo..
Na Kwenye hoja za Nchi za Sasa hivi..

Kiukweli nimefurahi Nchimbi kuwa Katibu ila sioni haja ya majina Ya watangulizi wake
Mheshimiwa Emmanueli Nchimbi amefika hapo na kushika wadhifa huo kwa kuwa wapo waliomtangulia na kufanya kazi iliyokifanya chama kuwa imara na chenye nguvu wakati wote, huku kikiongoza serikali zote mbili ya jamuhuri na upande wa zanzibar.lakini pia amepokea CCM iliyo na umoja na iliyoimarika katika jumuiya zake zote.
 
Kaka umeme wamekata hapa Kyela kunashida gani?
 
na kweli kipo imara kinavyozikamua kodi za watanzania bila huruma aise wapo imara!
Kodi zote zinazokusanywa na serikali ya CCM zinatumika kwa uaminifu mkubwa sana katika kuwapelekea maendeleo watanzania.ndio maana unaona kwa sasa huduma za kijamii zimesogezwa karibu kabisa ya mwananchi na kuondoa ile adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta na kufuata huduma.
 
Kaka umeme wamekata hapa Kyela kunashida gani?
Ngoja nifuatilie niangalie kuna tatizo gani huko.lakini inawezekana kukawa na marekebisho madogo madogo au ukarabati wa miundombinu ya umeme hasa nguzo ambapo kipindi hiki ambapo mvua zinaendelea kunyesha unakuta kuna mahali nguzo imeanguka au kulalia upande mmoja.hivyo ili kufanya matengenezo na marekebisho ni lazima wakate umeme maeneo fulani mpaka watakapomaliza kazi.

Kikubwa endeleeni kuwa na subira na kuwa na imani na serikali ya Rais Samia na kumuandalia Kura ya ndio maana ndio mgombea pekee uchaguzi ujao
 
Mheshimiwa Emmanueli Nchimbi amefika hapo na kushika wadhifa huo kwa kuwa wapo waliomtangulia na kufanya kazi iliyokifanya chama kuwa imara na chenye nguvu wakati wote, huku kikiongoza serikali zote mbili ya jamuhuri na upande wa zanzibar.lakini pia amepokea CCM iliyo na umoja na iliyoimarika katika jumuiya zake zote.
Yote hayo nayajua Mkuu nikiwa kama Mwanachama wa CCM kwa miaka zaidi ya 20, Nisichokijua kutoka kwao hyo Historia ina Lengo gani au inamaana gani au Ina funzo gani?
 
Kodi zote zinazokusanywa na serikali ya CCM zinatumika kwa uaminifu mkubwa sana katika kuwapelekea maendeleo watanzania.ndio maana unaona kwa sasa huduma za kijamii zimesogezwa karibu kabisa ya mwananchi na kuondoa ile adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta na kufuata huduma.
ongea na CAG hayo mambo usinichoshe
 
Back
Top Bottom