Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kwa hiyo sisi tufanyeje? Kwani unafahamu timu inaruhusiwa kusajili wangapi?Wadau hamjamboni nyote?
Orodha kamili ya wachezaji wakigeni wa Yanga...
Mpira ni biashara ww mtk......kwa hiyo ulitako tuweke wajomba zako!Wadau hamjamboni nyote?
Orodha kamili ya wachezaji wakigeni wa Yanga
Wachezaji wa kigeni katika klabu ya Yanga msimu 2024/2025
โ Djigui Diarra ๐ฒ๐ฑ
โ Yao Attohoula Kouassi ๐จ๐ฎ
โ Chadrack Issaka Boka ๐จ๐ฉ
โ Khalid Aucho ๐บ๐ฌ
โ Maxi Mpia Nzengeli ๐จ๐ฉ
โ Duke Deuces Abuya ๐ฐ๐ช
โ Pacome Peodoh Zouzoua ๐จ๐ฎ
โ Stephane Aziz Ki ๐ง๐ซ
โ Clatous Chota Chama ๐ฟ๐ฒ
โ Kennedy Musonda ๐ฟ๐ฒ
โ Jean Othos Baleke ๐จ๐ฉ
โ Prince Mpumelelo Dube ๐ฟ๐ผ
Wamuache Baleke.โ Jean Othos Baleke ๐จ๐ฉ
Ukijinyea,kila atakayecheka unadhani anakucheka wewe.Jamaa kaanzisha uzi kama kuhabarisha kuhusu wachezaji wa kikosi cha Yanga 2024/2025 wa kimataifa ila cha ajabu watu wanamshambulia utafikiri kuna kauli yeyote ya dhihaka, kejeli au tusi alilolitoa. Hizo ni dalili za stress kila jambo unalichukulia in negative side