Orodha mpya Mabilionea Afrika 2024

Naomba kujua anaye ni namna gani Forbes wanawapata hao matajiri
Navyojua, wanaangalia thamani ya assets zote na pesa unayomiliki.

Ila hii mara nyingi inafanyika kwa hawa matajiri kutoa taarifa zao na wengine wasiotoa huwa wanafanyiwa makadirio based na vitu vinavyojulikana..

Hawa forbes mara nyingi hutumika kuongeza value ya majina ya watu husika wawe matajiri au la, ndio maana miaka zaidi ya kumi nyuma, Donald Trump alimpeleka mahakamani muandishi aliyemuita millionaire instead of a billionaire kwa sababu alimpunguzia thamani yake kwenye umma😁😁
 
Wote mnaouliza kwanini Bakhressa hayupo?
Hilo swali lilisha tolewa majibu.
Na hata ukiangalia TOP HUNDRED YA MATAJIRI WA AFRIKA UNAWEZA USIMKUTE. Ufafanuzi ulisha tolewa
Sasa huo ufafanuzi si uulete hapa?
 
duh I was just wondering to for what reason my dad is not in the list, an answe came imediately that he left the chance for me to do on his behalf!
 
Bakhresa ni millionaire in term of USD anacheza kwenye $800 mln
 
Hahahahahaha..ni sehemu ya promo kwa matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…