Orodha mpya Mabilionea Afrika 2024

Orodha mpya Mabilionea Afrika 2024

kutoka kushona viatu mpaka kumiliki matrilioni...
Ndio stori zetu hizo wabongo tukiwa vijiweni
20231214_191050.jpg
 
Bakhresa hamkuti Mo
Sema tu Bakhresa hapendi kijitangaza lakini ukweli Mo hawezi kumzidi Bakhresa! Ule uwekezaji tu pale baharini Verdy Hotel siyo wa kitoto. Uliona wapo raia anafukuza bahari? Njoo sasa kwenye boat, Vyombo vya habari, timu la mpira na kiwanja, vinywaji n.k. Mo hamwezi bwana!
 
Bakheresa ni tajiri ila hataki mali zake zihesabiwe amekataa ndio hayupo ktk Forbes za ndani watu wanasema bakheresa Mali zake na kampuni na viwanda unavyoona sio zake peke yake bali kuna share na watu that's why hataki kuhesabiwa kwakuwa Mali sio zake peke yake
Bakhresa hamuwez mzee awadh wa azania group na lake oil group
 
Sema tu Bakhresa hapendi kijitangaza lakini ukweli Mo hawezi kumzidi Bakhresa! Ule uwekezaji tu pale baharini Verdy Hotel siyo wa kitoto. Uliona wapo raia anafukuza bahari? Njoo sasa kwenye boat, Vyombo vya habari, timu la mpira na kiwanja, vinywaji n.k. Mo hamwezi bwana!
Nitajie kiwanda kikubwa cha bakhresa kinachozidi ukubwa kiwanda cha sayona pale pwani
 
Back
Top Bottom