Marry Ngowi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 262
- 294
a lot of words without saying anything !!!!!
Hata mbuyu ulianza kama mchicha !!!
kuna ugonjwa wa akili unaitwa mania,dalili mojawapo ni kuandika sana yaani hypergraphia.
Ni nouumaa! Kusoma yote hayo mtu unatakiwa uwe umebugia angalau the Castle Milk tano, aisee!
imenibidi nibwie ata viloba3 lakin vimekata ata stor cjaimaliza... Duh uyu jamaaa atakua mhariri nn?