Orodha mpya ya mafisadi hii hapa!

Orodha mpya ya mafisadi hii hapa!

Ni nouumaa! Kusoma yote hayo mtu unatakiwa uwe umebugia angalau the Castle Milk tano, aisee!
 
a lot of words without saying anything !!!!!
Hata mbuyu ulianza kama mchicha !!!
 
mie nimeelewa anayetaka nimwelezee kwa kifupi kasema nini anitumie vocha kwa airtel money
 
kwenye hii orodha ametaja akina nani? Nimeona Magufuli na Mwakyembe, ndio hao Mafisadi?
 
kuna ugonjwa wa akili unaitwa mania,dalili mojawapo ni kuandika sana yaani hypergraphia.
 
refer to principles of communication.bongo wachovu kusoma vitu,labda ingekuwa malavidavi.ok mkuu tunasubili
 
nimejitahidi kusoma post yako but nimejikuta nimelala afu sijui hata nimesoma nini! umeandika marefu sana na wewe! ona sasa umenisababishia usingizi saizi!
 
kuna ugonjwa wa akili unaitwa mania,dalili mojawapo ni kuandika sana yaani hypergraphia.

ahahahahahaaaaa! wewe umenichekesha sana hadi kausingizi kamepotea! duh nouma sanaa!
 
Mpuuzeni! Uko Marekani hujui hata kuandika? Sasa hapo wewe unaelewa?
 
duh!kwel hiyo ni orodha mpya ya mafisadi
 
umeongea mambo ya maana lakini umeniudhi. Nimetumia zaidi ya 1/2 saa kusoma thread yako lakini hauna majina, au ndo umetufanya watoto wote humu? Tabia chafu hiyo.
 
Back
Top Bottom