Orodha mpya ya wana HIP HOP wanaoongoza kwa utajiri 2018

Orodha mpya ya wana HIP HOP wanaoongoza kwa utajiri 2018

kwaio wanapokezana vijiti...nliona wanagonga cheers kwenye sherehe ya jigga
hao wanajuana mkuu"" wote wauza roho zao kwa shetani...na wote walikuwa ni marafiki zake Christopher Wallace ...B.I.G..na wote wameshawahi kutukanwa mnoo na 2pac
 
1 hadi 3 hao wengine wamepigwa gape kubwaaaaaa sana.... hata waungane bado hawata mfikia wa 2
 
hao wanajuana mkuu"" wote wauza roho zao kwa shetani...na wote walikuwa ni marafiki zake Christopher Wallace ...B.I.G..na wote wameshawahi kutukanwa mnoo na 2pac
haaha sold their souls to his majesty
 
Yaani hawa wanamziki wanawazidi hadi matajiri Wa Tanzania

Maana kwa takwimu hizo hata No dewji ,Mengi na bakhresaa hawafikii
 
Mhh hii list inatoka marangapi? Hebu weka link tuone, nachojua Diddy is still on top
Kweli mkuu ...usiwaamini hawa waandishi makanjanja wa bongo...anasema ana Jay Z utajiri wa trilioni 1.o25?? Ina maana ana zaidi Dola Bilioni 1 za America??

Mbona haijawai kutokea kwa Rapper kufikisha na utajiri wa Dola Bilioni??
Dre kidogo afikishe izo hela alivouza Beats zake...nashangaa Jay z duh
 
Yaani hawa wanamziki wanawazidi hadi matajiri Wa Tanzania

Maana kwa takwimu hizo hata No dewji ,Mengi na bakhresaa hawafikii
Dewji ana utajiri wa zaidi ya dola bil1.3 ambayo ni karibu Trillion 3 za kitanzania
 
Sasa si bora iwe hivyo, kwa sababu hata nikiwafuatilia hao jamaa na utajiri wao hawanisaidii chochote mkuu...!!! Kupeana stress tu kufuatilia matrilioni ya watu wakati kwenye wallet nna buku 2 tu. Bora nipambane na hali yng huku nikitaja wasanii wetu
 
Kweli mkuu ...usiwaamini hawa waandishi makanjanja wa bongo...anasema ana Jay Z utajiri wa trilioni 1.o25?? Ina maana ana zaidi Dola Bilioni 1 za America??

Mbona haijawai kutokea kwa Rapper kufikisha na utajiri wa Dola Bilioni??
Dre kidogo afikishe izo hela alivouza Beats zake...nashangaa Jay z duh
Jay Z ana USD $900m kwa sasa. Huyo mbuzi sijui kaandika ushuzi gani.
 
Hichi kijamaa kinatoa takwimu hata hakujapiga mswaki,unaanzaje kuwataja maskini kama Eminem huku Birdman akikosekana hata kwenye orodha? We mziki umeujua Jana baada ya kuja Dar kusoma tuition pale mchikichini
 
Back
Top Bottom