Orodha mpya ya wana HIP HOP wanaoongoza kwa utajiri 2018

Orodha mpya ya wana HIP HOP wanaoongoza kwa utajiri 2018

Hichi kijamaa kinatoa takwimu hata hakujapiga mswaki,unaanzaje kuwataja maskini kama Eminem huku Birdman akikosekana hata kwenye orodha? We mziki umeujua Jana baada ya kuja Dar kusoma tuition pale mchikichini
Birdman hajawahi kuingia top 5 arifu...hao wengine mbali na mziki pia wamewekeza kwenye biashara zingine tofaut tofauti lakin kwa eminem yeye utajiri wake ni kuuza sana mziki wake worldwide tokea miaka hiyo ya nyuma mpaka sasa. Ndio mana kwenye hiyo list msanii wa hivi karibun ni drake peke ake lakin hao wengine wote ni ma-legendary na hela wameanza kuzitafuta kitambo. Albam zake za nyuma zimempa hela sana eminem na anawakimbiza kimya kimya
 
Kweli mkuu ...usiwaamini hawa waandishi makanjanja wa bongo...anasema ana Jay Z utajiri wa trilioni 1.o25?? Ina maana ana zaidi Dola Bilioni 1 za America??

Mbona haijawai kutokea kwa Rapper kufikisha na utajiri wa Dola Bilioni??
Dre kidogo afikishe izo hela alivouza Beats zake...nashangaa Jay z duh
matomaso hua hamkosekani...dola bilioni 1 unaona ni nyingi kwa mtu kama Jay Z au puff daddy? wewe kanjanja wa wapi aisee...list iko nenda hata website ya forbes unaita watu kanjanja kumbe mwenyewe hujafanya research unakurupuka tu
 
Sasa si bora iwe hivyo, kwa sababu hata nikiwafuatilia hao jamaa na utajiri wao hawanisaidii chochote mkuu...!!! Kupeana stress tu kufuatilia matrilioni ya watu wakati kwenye wallet nna buku 2 tu. Bora nipambane na hali yng huku nikitaja wasanii wetu
wasanii wetu sio haba nao kuna mmoja ana bilioni sio haba
 
Hichi kijamaa kinatoa takwimu hata hakujapiga mswaki,unaanzaje kuwataja maskini kama Eminem huku Birdman akikosekana hata kwenye orodha? We mziki umeujua Jana baada ya kuja Dar kusoma tuition pale mchikichini
makanjanja maskini kama wewe mnaposoma habari mnakurupuka bila kufanya research kujihakikishia kilichoandikwa ni sawa...eti eminem ni maskini..una akili fupi kweli wewe...basi forbes ni matapeli wanasema uongo ( nataja forbes najiuliza hata ninayemjibu anajua hata forbes ni nini) watu tunaujua mziki tokea enzi za Eazy - E wa niggas with attitude unaongea nini wewe mmejua mziki wa akina harmonize ndo mnajua mziki [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Birdman hajawahi kuingia top 5 arifu...hao wengine mbali na mziki pia wamewekeza kwenye biashara zingine tofaut tofauti lakin kwa eminem yeye utajiri wake ni kuuza sana mziki wake worldwide tokea miaka hiyo ya nyuma mpaka sasa. Ndio mana kwenye hiyo list msanii wa hivi karibun ni drake peke ake lakin hao wengine wote ni ma-legendary na hela wameanza kuzitafuta kitambo. Albam zake za nyuma zimempa hela sana eminem na anawakimbiza kimya kimya
mkuu usijibu watu wanaojifanya wanajua mziki wa akina harnonize ndo wana leta kiburi kwamba ndio wanajua mziki
 
Idris alishinda hizo nusu billion akahonga zote saiv kaajiriwa redion analipwa laki tano
Maisha yana mengi baba wengine pesa huwaongezea akili huku wengine hupumbazwa nazo. Anyways wanadai jamaa kawekeza mahali ila kwa wabongo wanavyopenda showoffs sidhani kama angeinvest kitu cha maana angeacha kubwata mitandaoni
 
Back
Top Bottom