Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

Tatizo naliona unapotembea nae barabarani sometimes unajiskia kama unatembea na katoto kako hivi.
 
Ndo kawaida unatakiwa mwanaume uwe mfupi ila wanawake awe mfupi

Sijajua tatizo kwa sisi wanaume wafupi likoje
 
Kwenye nini kifanyike,namba 1&5,umechemka sana,
Hilo sio suluhisho.
Tuna nguvu kazi kubwa,iliyosoma vzr,lakini hakuna ajira za kutumia Hawa vijana,ikitokea ukafungua plant ya kutengeneza apple phones na computer,au kampuni ya kutengeneza software za computer,Wala hutapata shida ya kupata wafanyakazi,maana vijana wapo wengi sana wenye ujuzi
 


Nashukuru Kwa Maoni
 
Sahihi kabisa cha msingi Kila mtu apambanie nafsi yake, kama ni singomaza pambania kisingo Maza, maskini pambania kombe, mfupi tafuta wafupi wenzako, Ili maisha yaende Kila mtu Aishi au atafute wa saizi yake nje na hapo unatafuta maisha magumu


Sisi wafupi hatutajusikiliza, ubishi jadi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…