Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Nimecheka hapo kwa wafupi
Wafupi mnatuonea Sana.
Alafu sipendagi mkitumia maneno Kama "Kaine vile, nikakaangalia!!,
daaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka hapo kwa wafupi
Suluhu kwa watu wafupi please😊
Umeongea ukweli lakini hapo kwa wafupi labda utafiti ufanyike.
🤣🤣🤣🤣Tangu nakua hili kundi watu hawachoki kuliandama,
Hakuna Suluhu hapo ndio changamoto hiyo.
Bora hata single mother akiolewa akapumzika kidogo,
Rafiki yangu mmoja alikuwa akinitania akisema; ufupi ni donda lisilo tibika.
Bora mtu azaliwe na UKIMWI atatumia ARV kuliko kuzaliwa mfupi utatumia nini?
Mimi namjibu si nitavaa viatu virefu, basi tunacheka lakini Kwa ndani ananikera😀😀
Duh!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji23]
Tatizo naliona unapotembea nae barabarani sometimes unajiskia kama unatembea na katoto kako hivi.
[emoji15][emoji3480]sikuizi ni wazoa taka
Dah kwa single mother sawa ila kwa wafupi ahaaa
Stress za maisha zipo kote.. ..
So kwa mrefu Wala mfupi Wala single mother.. ..tu..
Hapo mchawi Ni pesa ...basi!
Waliomo kwenye ndoa wengi wanatamani kutoka Ni pingu za maisha tu ndio zinazuia.. ..
Kuwa mrefu halafu kapuku ... Shida unayo..
Heshima Ni pesa shkamoo Ni maneno tu!
Npo haha na ndugai pamoja na msukuma tunafikiria namna ya kukufungulia mashtaka juu ya udhalilishaj wa watu wafupi
Wakili jebra kambole popote ulipo n dm nikupe Kaz hii
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuwa mrefu na huna hela utaishia kuitwa tolu tuStress za maisha zipo kote.. ..
So kwa mrefu Wala mfupi Wala single mother.. ..tu..
Hapo mchawi Ni pesa ...basi!
Waliomo kwenye ndoa wengi wanatamani kutoka Ni pingu za maisha tu ndio zinazuia.. ..
Kuwa mrefu halafu kapuku ... Shida unayo..
Heshima Ni pesa shkamoo Ni maneno tu!
Kumbe f 5 na nusu mi mrefu😳
Nimependa hapo kwenye suluhisho la kwamba vijana siyo lazima wabanane mijini, wanaweza rudi vijijini wakajikita kwenye kilimo na ufugaji.
Kujilazimisha kukaa mijini either kwa kujibana kwenye magheto ya watu, huku mtu akishindia mlo mmoja na taabu zingine ilihali ardhi ipo ya kutosha kijijini ni KUINGILIA MIFUMO ISIYOKUTAMBUA.
Mwanaume mfupi hata ukiwa na madegree kama yote lakini utadharauliwa.
Vile vile hujazungumzia wenye flat screen/hawana matako, wanawake wa kichagga miongoni mwao hawana matako, je utafiti usemaje kwa hawa wenye flati?
Kuna wanawake piaa wa kichagga ambao miongoni mwao wana miili mikubwa kama mijanaume miguu ka spoku, je utafiti unasemaje kwa hawa wenye miili na miguu ka spoku??