Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

Suluhu kwa watu wafupi please😊

Tangu nakua hili kundi watu hawachoki kuliandama,

Hakuna Suluhu hapo ndio changamoto hiyo.

Bora hata single mother akiolewa akapumzika kidogo,

Rafiki yangu mmoja alikuwa akinitania akisema; ufupi ni donda lisilo tibika.
Bora mtu azaliwe na UKIMWI atatumia ARV kuliko kuzaliwa mfupi utatumia nini?

Mimi namjibu si nitavaa viatu virefu, basi tunacheka lakini Kwa ndani ananikeraπŸ˜€πŸ˜€
 
🀣🀣🀣🀣
 
Stress za maisha zipo kote.. ..
So kwa mrefu Wala mfupi Wala single mother.. ..tu..

Hapo mchawi Ni pesa ...basi!

Waliomo kwenye ndoa wengi wanatamani kutoka Ni pingu za maisha tu ndio zinazuia.. ..

Kuwa mrefu halafu kapuku ... Shida unayo..

Heshima Ni pesa shkamoo Ni maneno tu!
 


Kuna stress za maumbile Mkuu wala asije mtu akakudanganya.
 
Npo haha na ndugai pamoja na msukuma tunafikiria namna ya kukufungulia mashtaka juu ya udhalilishaj wa watu wafupi

Wakili jebra kambole popote ulipo n dm nikupe Kaz hii

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app


🀣🀣🀣

Mimi ugomvi na watu wafupi siuwezagi.

Nimekumbuka utani WA Nyerere alipofika upareni, Ile hadithi Kama ni kweli πŸ˜€πŸ˜€ kuna watu wanadhambi sana
 
Kuwa mrefu na huna hela utaishia kuitwa tolu tu
 
Nimependa hapo kwenye suluhisho la kwamba vijana siyo lazima wabanane mijini, wanaweza rudi vijijini wakajikita kwenye kilimo na ufugaji.

Kujilazimisha kukaa mijini either kwa kujibana kwenye magheto ya watu, huku mtu akishindia mlo mmoja na taabu zingine ilihali ardhi ipo ya kutosha kijijini ni KUINGILIA MIFUMO ISIYOKUTAMBUA.
 


Tatizo Binadamu wabishi mno.

Tunapenda kufuata mkumbo mno. Acha tuteseke
 


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mkuu hawa wanateseka mno.
Hasa wanawake wenzao waliojaliwa wakipita mbele Yao.

Lakini nataka kuuliza unautani na Wachagaga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…