Orodha: Serikali yawaita kazini walimu 13,130 na kada za afya. Watakaoshindwa kuripoti ndani ya siku 14 watapoteza nafasi

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewaita kazini walimu 13,130 kwa ajili ya kufundisha wanafunzi katika ngazi ya shule za msingi na sekondari.

Orodha ya Waombaji ajira iliyochapishwa leo Juni 5, 2023 katika kurasa 515 imehusisha walimu ambao pia wamesoma na kuhitimu elimu maalum.

Waziri wa Tamisemi, Angellah Kairuki amesema Waajiriwa wapya ambao hawataripoti katika vituo walivyopangiwa ndani ya siku 14 kuanzia tarehe ya tangazo hili, watakuwa wamepoteza nafasi zao na nafasi hizo zitajazwa na waombaji wengine wenye sifa waliopo kwenye Kanzidata (Database) ya Ofisi ya Rais – TAMISEMI.

Mwezi Aprili, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan, alitoa kibali cha ajira ya watumishi 21,200 kati yao 13,130 walikuwa wa kada ya Ualimu na 8,070 wa kada za Afya.
 
Attachments

Aya nendeni mkatumikie taifa....
 
Hata mwaka wa kumaliza chuo utazamwe mkuu.

Waliohitimu 2014 kurudi nyuma wote walikuwa wanaajiriwa direct tena bila kuomba. Wapo waliokataa coz walikuwa busy na private sector, wengine walikataa mazingira magumu.

Leo hii 2023 mtu anaomba kazi ya ualimu na cheti cha 2010, huyo ana haki ya kuachwa unless awe na sababu zenye mashiko 2010 alikuwa wapi.
Hatimae maoni yamezingatiwa. Wameajiri waliomaliza chuo kuanzia 2015.
 
Mbona hawajaweka namba zao za form 4 ?

Isije ikawa madudu yale ya enzi zile watu walipofanya uchunguzi kugundua kuna namba za form 4 zilikuwa hazina watu ila zimepachikwa kwa watu hewa, unakuta shule ilikuwa na wanafunzi 25 kuna mtu namba yake ni ya 50, pia kulikuwa na majina tifauti, namba ya form 4 na jina havifanani.
 
Ushauri kama unaenda kusoma ualimu nenda kasome special need educationa na ualimu wa physics na Mathematics vinginegyo utasaga meno mtaani mana ni wengi kuliko uhitaji

Back
Top Bottom