mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,559
Ha ha ha tatizo mtaji mkuu.Good post. Tatizo kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha tatizo mtaji mkuu.Good post. Tatizo kodi
Wenye mitaji yao wakina dangote wamefunga viwanda. Nenda pia ujione kkoo wenye. Wenye mitaji wamekimbia.Ha ha ha tatizo mtaji mkuu.
Mkuu Dangote kafunga kiwanda cha saruji Mtwara?Wenye mitaji yao wakina dangote wamefunga viwanda. Nenda pia ujione kkoo wenye. Wenye mitaji wamekimbia.
Mkuu, kodi hutokana na details unazojib bda ya kuulizwa na tax officer kutokana na biashara yko.chief inaonekana hii ishu ya tra na kodi ni changamoto kubwa sana kwa wajasiriamali sio mbaya km ukija na uzi wa kuwaelimisha namna ya kupata favour ya iz kodi
Nimekuelewa chief na kwa hakika nikupe pongezi kwa kutokutoka kapa katika andiko hili.
Kuhusu biashara ninayofanya..vi miradi/project vipo vingi kidogo.
nikuombe uendelee kuniombea, na siku za mbeleni katika hivyo vi- project nitakuja kuzungumzia moja ya biashara katika hivyo vi-project vyangu ambayo ni
'procurring, processing, manufacturing, packaging, labeling and distribution of agri-food products'. processs hizo zina muondoa mkulima maana yeye ameshafanya yake kwa kuzalisha zao husika.
Maana nina amini kama ambavyo MO husema katika biashara ambazo hazina ushindani kama ukiujua mchezo vizuri ni biashara ya chakula tu..maana hakuna kampuni itakayoweza kulisha watu wote mill 50.
Sasa chain ya chakula ukimtoa 'mkulima' ni ndefu mpaka kwa mlaji..
Unaweza kuchagua kimoja katika hivi vifuatavyo lakini pia unaweza kufanya vyote kinachotakiwa ni ujue how the masterpiece works
'procurring, processing, manufacturing, packaging, labeling and distribution of agri-food products-.
View attachment 705596

AhsanteNi vyema andiko hili limekuwa msaada kwako..
Sasa bila kuchelewa fanyia tafiti ulichokipata kulingana na mazingira uliyopo kisha pasi kuchelewa ANZA UTEKELEZAJI.
Ulitegemea hbar kma iyo itangazwe au?Mkuu Dangote kafunga kiwanda cha saruji Mtwara?
Mkuu watu wanabiashara za m3 wanalipa kodi laki kma 8 kwa mwakaMkuu, kodi hutokana na details unazojib bda ya kuulizwa na tax officer kutokana na biashara yko.
Kwa mapato yasiyozid mil4 kwa mwaka, hutopaswa kulipa kodi hata senti mia.
Kwa mil4 hadi 7.5 basi utalipia kodi ya laki na nusu pekee, tena kwa installment (Kwa vipindi v4 ndani ya mwaka)
Kwa mil7.5 hadi kumi10.5 basi utalipia laki38, nayo ni kwa vipindi vinne, hutegemea na kalendar year yko.
Kwa mil10 hadi 14 ni laki52.. na kuendelea Hizi ni kodi za mapato pekee
KUKADILIWA KODI KUBWA SIO MWSHO WA MANUNG'UNIKO, UNARUHUSIWA KUMWANDIKIA BARUA REGIONAL MANAGER (RM) AU DISTRICT MANAGER (DM) UKILALAMIKIA MAKADILIO MAKUBWA YA KODI.(Hakikisha una facts zenye mashiko,sio blah blah tu)
Tatizo wafanya biashara mnajichanganyaga kutaja manamba makubwa makubwa kipindi cha makadirio, hapo ndipo mnapo bugi sasa.
Nimeshare kaelimu kangu kadogo nlkokapata kwny certificate yng ya maswala ya kodi pale Chuo cha kodi.
Taendelea kushare hivyo hivyo kadri ya uwezo wng kile ninachokijua,ninapokosea rukwa kukosolewa. MM SIO MTAALAMU WALA TAX OFFICER
Si rabbish kabisa ,, pia pole na majukumu mnoKassimneema ratiba zinapishana na muda mwingine muda wa kupita huku unakuwa limited sana.
Napokea PM nyingi..hivyo subira ituongoze katika hili.
N.B.Isiwe tu rubbish.
Mkuu, kodi haihusishi mtaji pekee, Ni mjumuiko wa vitu vingi km eneo la biashara,kodi ya chumba,mapato ya siku, uwezo wako kifedha km unasomesha,unanyumba au umepanga, kodi ya maji na umeme, lishe na maradhi..Mkuu watu wanabiashara za m3 wanalipa kodi laki kma 8 kwa mwaka
Nimekuwa nikiandaa write-ups mbalimbali kwa ajili ya wateja wa biashara na miradi ya kiuchumi na kijamii tangu 2008: wateja nimekuwa nikiwapata individuals, kampuni na taasisi changa zinazoanza na zilizo ktk mwendo wa polepole. Ila kupungua au kuathirika kwa sekta ya biashara na uchumi kwa jumla pamoja na Ile general purchasing power nk kumefanya wateja wa uelekeo wa huduma hizi kupungua Sana, wanaamua kuendesha shughuli zao.. Business as usual.Pole sana IPILIMO..
emu nieleze kidogo kuhusu hiyo huduma na pengine tunaweza badilishana uzoefu kuona unavyoweza kufanya adjustment.