Orodha ya celebrities wa tanzania wenye followers wengi INSTAGRAM


Ngumu sana kibongo kutumia watu ka kina shishi wasanii wana sifa na reputations mbaya kwa jamii ndo mana hawapati matangazo ka hayo ya makampuni makubwa tofauti na TV zinawatazamaji wengi rika zote na kila mtu anaona kiurahisi kutumia hao machangu ni kuzalilisha kampuni
 
Mtoto wa diamond(princess tiffa) ana followers wengi kumpita king of all social media( mzee wa degree 3)
You couldbe theking but watch the queen conquer
 
Yule bado sana, yuko around 600k
Unajua kajiunga lini instagram ila bwana ukitaka kupata followers wengi instagram ni skendo tu hamna kingine
Ndo maana nuh mziwanda ana followers wengi kuliko richmavoko na belle9 kwa skendo kuimba zero
 
Ukiona mtu yuko instagram,, ujue huyo ni zuzu na mpuuzi

Lowassa yupo instagram
Rais Magufuli yupo instagram
Makamu wa Rais Samia sulu yupo instagram
Zitto kabwe yupo instagram
Jakaya kikwete yupo instagram

Hao wachache tu viongozi ninaowajuwa mimi, Ila hata huyu mchungaji alioteka headline za Tanzania TB. JOSHUA yupo instagram. Na mbele naona viongozi karibu wote wapo insta akiwemo Obama.


Wewe tu..!!!
 
Unajua kajiunga lini instagram ila bwana ukitaka kupata followers wengi instagram ni skendo tu hamna kingine
Ndo maana nuh mziwanda ana followers wengi kuliko richmavoko na belle9 kwa skendo kuimba zero
Ngoja nikuanzishie skendo ili upate followers wengi.
 
Unajua kajiunga lini instagram ila bwana ukitaka kupata followers wengi instagram ni skendo tu hamna kingine
Ndo maana nuh mziwanda ana followers wengi kuliko richmavoko na belle9 kwa skendo kuimba zero

Mbona kiba anaskendo sana juu ya yeye na jokate.. Juu ya yeye kuwa na watoto 4 kila mmoja na mama ake..

Na kubwa kabisa inayompa asilimia kubwa ya kipato chake kwa sasa kujibebisha na mbeleko ya kiki kwa diamond..

Hakuna asiefahamu hivo vitu...!! Na hizo zinaitwa kiki
 
Skendo ipi mbona unabahatisha ulishawahi kumuona amempost jokate katika account yake ya instagram pozi la kimahaba
Kwani wema mziwanda wana kazi gani mbona wana followers wengi
Yani we jamaa bwana Tanzania star ni mmoja tu wengine wote wanaiga skendo =followers
 
Followers pia wananunuliwa.

Siku instagram wakiamua kuclean na kuondoa followers hewa ndio mtajua followers halisi.

Nakubaliana na wewe kabisa followers wengi ni feki aiingii akilini una followers 1.2m ukitoa post unapata likes 4000 na comments 50 tu wakati Justin Bieber akiweka post insta ndani ya dakika ina likes 25 elfu comments 4000....Insta za wabongo followers fekero.
 
Matumiz ya mitandao ya kijamii Tanzania ni makubwa mnooooo kupita kawaida.
Ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…