Nakubaliana na wewe kabisa followers wengi ni feki aiingii akilini una followers 1.2m ukitoa post unapata likes 4000 na comments 50 tu wakati Justin Bieber akiweka post insta ndani ya dakika ina likes 25 elfu comments 4000....Insta za wabongo followers fekero.
Skendo ipi mbona unabahatisha ulishawahi kumuona amempost jokate katika account yake ya instagram pozi la kimahaba
Kwani wema mziwanda wana kazi gani mbona wana followers wengi
Yani we jamaa bwana Tanzania star ni mmoja tu wengine wote wanaiga skendo =followers
Ndo mawazo yako hayo ulivyowaza ila ukweli unajulika sasa video ya aiyola ina uzuri gani kupigwa mtv ?? HahaHajawahi kumpost ila wanajifotoa picha za pamoja, afu watoto wake huwa anawapost mara kibao tu..
Jumlisha anavopost vijembe kwa diamond, yani na ukongwe wote bado anataka kiki anashindwa kujifunza kwa wakina matonya au dudubaya
Ndo mawazo yako hayo ulivyowaza ila ukweli unajulika sasa video ya aiyola ina uzuri gani kupigwa mtv ?? Haha
Namba mbili ana bahati mbaya chochote cha kuingiza pesa vinamkimbia labda vya mwili tu.
Followers pia wananunuliwa.
Siku instagram wakiamua kuclean na kuondoa followers hewa ndio mtajua followers halisi.
Kuna watanzania wapuuzi wengi sana kumbe...
Hivi huyo Wema anawezaje kuwa na Followers Million 1??
Ukitaka kujua Instagram ni mtandao wa wajinga hapa Tanzania, nenda kaangalie Followers wa huyo mlaya Twitter..
Yani sasa hivi watu wanaiamini instagram kwa kila kituwatu hapa naona wana kubishia ... sababu wanataka kukubishia.... ila hii ipo na iliwah tokea miaka allmost miwili imepta.... justine bieber ndo alipoteza followers weng sana... Japo sjajua kama na Wabongo wana Followers Fake.... af inakuaje watu wana followers million af likes hazifiki hata 20000 Hazifiki... japo ndio sio kila unachopost watu watapenda.... mfano wema post nyng likes zna range ya 12000 mpaka 15000 same to daimond...ambayo ni sawa na asilimia 1.5% ... Kwahyo mm ambae nna followers 140 Ila nna likes 30 ni sawa na asilimia 21.4% .... Ina Raha gani sasa... Sawa najua mtasema Anafikisha taarifa zake za kazi yake pale anapohitajiii... Lakini Kiukweli Followers Wa mitandaoni hawana maana yoyote Mda Mwingine... Mfano Mzuri Mwanamuziki wa Marekani Jay Z hajafikisha hat 500k.. Lakini unadhani akifanya kitu daimond na Jay Z nan Anaweza sikika Kwa urahisi?? Au Unadhani Kat ya Jay Z na Diamond nan Anafahamika hapa Dunian?? Huo Mfano Tuuuu... Ila kuna Wasanii Weng Wa Marekan Na Dunian Kwa ujumla Na wanafollowers wachache kuliko Wema... Lakini wana mafanikio, Fanbase Na Ushawishi mkubwa Kuliko wema ....
Nawapa mfano mwingine... Katika Football Wachezaji bora kabisa ni Mesi Na Christian Ronaldo... Lakini Messi amezidiwa na Neymar Kwa Followers...Katika Mtandao Huoo Wa Instagram Na Ronaldo Kampiku kwa Siku za Karibuni Tuu...So Manaake kwamba neymar alikua bora Kuliko hao...
Any Way Mtu Maarufu Tanzania Yaan Rais Mstaaf JK Hajafikisha hata 50K
Wakati Billionare Mo Dewj Pia Akiwa Na 21k...
MTu Maarufu Duniani Barack Obama Ana 5M Followers Wakat Beyonce Na Kim K wakiwa Na Zaid Ya 50m na Official Page ya Insta Wakiwa Na Zaidi Ya 100m Followers... Lakin Hao wote sizan kama Wanamzidi Bwana Obama kwa Mambo Mengi... Hii Ndo imewafanya Vijana skuiz wanahangaika kupost picha chafu mitandaon ili wapate followers wengi.. Ni Mtazamo Tuu
Nakubaliana na wewe kabisa followers wengi ni feki aiingii akilini una followers 1.2m ukitoa post unapata likes 4000 na comments 50 tu wakati Justin Bieber akiweka post insta ndani ya dakika ina likes 25 elfu comments 4000....Insta za wabongo followers fekero.
King kiba kila kitu wa Mwisho tuu.
Nakubaliana na wewe kabisa followers wengi ni feki aiingii akilini una followers 1.2m ukitoa post unapata likes 4000 na comments 50 tu wakati Justin Bieber akiweka post insta ndani ya dakika ina likes 25 elfu comments 4000....Insta za wabongo followers fekero.
watu hapa naona wana kubishia ... sababu wanataka kukubishia.... ila hii ipo na iliwah tokea miaka allmost miwili imepta.... justine bieber ndo alipoteza followers weng sana... Japo sjajua kama na Wabongo wana Followers Fake.... af inakuaje watu wana followers million af likes hazifiki hata 20000 Hazifiki... japo ndio sio kila unachopost watu watapenda.... mfano wema post nyng likes zna range ya 12000 mpaka 15000 same to daimond...ambayo ni sawa na asilimia 1.5% ... Kwahyo mm ambae nna followers 140 Ila nna likes 30 ni sawa na asilimia 21.4% .... Ina Raha gani sasa... Sawa najua mtasema Anafikisha taarifa zake za kazi yake pale anapohitajiii... Lakini Kiukweli Followers Wa mitandaoni hawana maana yoyote Mda Mwingine... Mfano Mzuri Mwanamuziki wa Marekani Jay Z hajafikisha hat 500k.. Lakini unadhani akifanya kitu daimond na Jay Z nan Anaweza sikika Kwa urahisi?? Au Unadhani Kat ya Jay Z na Diamond nan Anafahamika hapa Dunian?? Huo Mfano Tuuuu... Ila kuna Wasanii Weng Wa Marekan Na Dunian Kwa ujumla Na wanafollowers wachache kuliko Wema... Lakini wana mafanikio, Fanbase Na Ushawishi mkubwa Kuliko wema ....
Nawapa mfano mwingine... Katika Football Wachezaji bora kabisa ni Mesi Na Christian Ronaldo... Lakini Messi amezidiwa na Neymar Kwa Followers...Katika Mtandao Huoo Wa Instagram Na Ronaldo Kampiku kwa Siku za Karibuni Tuu...So Manaake kwamba neymar alikua bora Kuliko hao...
Any Way Mtu Maarufu Tanzania Yaan Rais Mstaaf JK Hajafikisha hata 50K
Wakati Billionare Mo Dewj Pia Akiwa Na 21k...
MTu Maarufu Duniani Barack Obama Ana 5M Followers Wakat Beyonce Na Kim K wakiwa Na Zaid Ya 50m na Official Page ya Insta Wakiwa Na Zaidi Ya 100m Followers... Lakin Hao wote sizan kama Wanamzidi Bwana Obama kwa Mambo Mengi... Hii Ndo imewafanya Vijana skuiz wanahangaika kupost picha chafu mitandaon ili wapate followers wengi.. Ni Mtazamo Tuu
Umeandika gazeti lakini kimsingi haujaelezea kitu chochote cha maana, tukisema diamond ana followers wengi kuliko Jay Z hatumaanishi Diamond ni bora kuliko Jay Z, labda tu fupisha maelezo ulitaka kusemaje?
Hao Ghost Followers unaoongelea wapo Tanzania pekee??
Msanii wa Marekani mwenye Followers laki 4 anapata mpaka "LIKES" elfu 50 mpaka 60, Lakini Msanii wa Tz kama Wema mwenye Followers Million 1 anapata chini ya "LIKES" elfu 15, hapa inakuwaje?? Na kama hao Ghost Followers mostly ni wako Tanzania tena huko Instagram, kwanini tusiseme hao wao watu hawana akili sawasawa??
So unaamini uwepo wa followers fake? Kivipi yani ebu tusaidie na sie tutambue. Pengine unakijua unachokiongea.
So unaamini uwepo wa followers fake? Kivipi yani ebu tusaidie na sie tutambue. Pengine unakijua unachokiongea.