Nakubaliana na wewe kabisa followers wengi ni feki aiingii akilini una followers 1.2m ukitoa post unapata likes 4000 na comments 50 tu wakati Justin Bieber akiweka post insta ndani ya dakika ina likes 25 elfu comments 4000....Insta za wabongo followers fekero.
Hiyo ni kawaida coz beyonce ana followers zaidi ya 52 mil, ila likes anapata around 1 mil hao 51 mil wapo wapi????