Orodha ya celebrities wa tanzania wenye followers wengi INSTAGRAM

And kwa kukusaidia tu, kuna jinsi ya hadi kupata fake likes Facebook na huko Instagram..

Unapata Likes za hizo hizo Account hewa... kama unahitaji darasa, njoo PM ili hata vile vizawadi vya likes wanavyotoa Tigo na Vodacom uwe unashinda..

Sasa labda uprove ni kwa namna gani watu wanapata followers fake, kwasababu kwenye instagram kuna sehemu kabisa unaweza kuangalia waliokufollow kwa majina yao, sijui msingi wa madai yako ni upi kwasababu kama ni uwiano kati ya followers na likes kutofautiana mbona ni kitu cha kawaida? Na je kama kuna fake followers kwanini kusiwe na fake likes? Kivipi mtu aweze kutengeneza fake followers ashindwe kutengeneza fake likes?
Kwa mfano kuna kipindi nilikuwa na followers 987 , likes napata 350-400 comments napata 44-120. sa sioni madai yako yanaposimama kama ushahidi wa madai yako unajigeza katika idadi ya comments na likes Vs number of followers.
 
So unaamini uwepo wa followers fake? Kivipi yani ebu tusaidie na sie tutambue. Pengine unakijua unachokiongea.

Ghost followers ni wale wamekufollow ila hawafanyi chochote kwenye account yako

Mimi ninayo account facebook na nimelike baadhi ya pages ikiwemo ya diamond yenye likes zaidi ya 840,000 ila huwa siingii mara kwa mara, inaweza kuwa mara moja kwa wiki..! Sasa watu kama mimi tupo wengi sana

Kitu cha pili kuna watu hawana mazoea ya kulike podt yani yeye anapita tu anaangalia afu anapotezea.. Chukulia mfano princess tiffah siku amezaliwa ile siku insta alipata followers zaidi ya 40,000 ila ile picha aliyopost kwa siku ile haikufika hata likes 25,000 kilichotokea ni mtu kaingia kwenye page yako ila hajafanya chochote ila kila ulichopost amekiona

Mfano wa mwisho kabisaaaa Youtube unaweza ukawa na subscribers wengi sana, mtu kaingia kuangalia video hajalike wala kudislike wala kucomment ila anauwezo wa kufanya yote hayo.. Unaweza kujidanganya kusema watu hawajaiona kwa kuangalia likes na dislikes, ila views zitakupa jibu sahihi jalokuwa mtu mmoja anaweza view zaidi ya mara moja ila si kwa kiwango cha kutofautiana kiivo.. My number one remix ya diamond ina likes na dislikes zisizofika 25000 ila inaviews zaidi ya mil 11 kwahiyo tusijidanganye watu hawazioni post, wapo ila wachache.....
 

Situation kama hiyo imewafanya wenzio waamini kuwa kuna watu wana followers fake, ndo kitu nilichokuwa nabishana na mdau hapo juu, wala haihitaji mathematics ya kiwango cha secondary kugundua kuwa kuna watu unao kwenye account yako lakini wao ni observers tu!

Ndo maana nikamuomba mdau hapo juu atuelezee jinsi ya kupata followers fake, na iweje hawa mastaa wetu wanatengeneza followers fake halafu wanasahau likes fake ili kuondoa mismatching kati ya followers vs likes.

Siamini kama kuna muujiza mwingine hapa unless mtu aje hapa aniprove wrong, hahhaha wabongo wanaamini ujanja ujanja kwenye kila kitu hadi followers!?
 


Wakati mwingine ubishi wala hausaidii chochote.. Nimekwambia hapa hizo fake account zinatengenezwa na zina DP/Profile Picture ya mtu kabisa, na hata hizo fake likes pia zinatengenezwa.. Na nimekuwekea hiyo video hapo sasa sijui kama umeangalia au lah, au unabisha ili mradi unabisha..
 


Hujui alafu unajifanya unajua.. Hiyo Video hapo juu umeangalia?? Au basi tu unabisha vitu ambavyo huvijui..

Mimi sibishani hapa kwamba hao watu waliotajwa wana followers fake au ghost.. nachokwambia ni kwamba hao fake followers ambao wewe unawakataa wapo na fake likes zipo.. Vitu vingine sio mnabisha tu sababu ya mazoea na kujitia kujua.. Ingieni hata Youtube na Google msome.. Duuuuh..
 

Acha uongo nenda kalale saa hizi.
 

Hii post yako ndiyo iliyonifanya mi niongee hayo yote, ulivyokuwa unafanya comparison ya wasanii wa nje na wa huku kwetu, maelezo yako hapo juu ndiyo yalitaka kusema kuwa wasanii wa huku kwetu ndio wana hao followers fake, sioni kama nimekubishia kuhusu followers fake ila nimekukatalia prove ya followers fake kwa kujigeza kwenye likes Vs number of followers.
 


Na ndio maana nikakwambia usiamini kwenye Ghost Followers pekee... Post yangu haikatai uwepo wa hao Ghost Followers lakini inawezekanaje kati ya Followers 1 Million upate Likes chini ya 15,000?? Ndio maana nikasema basi huo Mtandao kwa hapa Tanzania umejaa wajinga ambao hawajielewi... Na ndio maana mimi binafsi ninaamini hao watu lazima wanatumia njia hasi kupata hao fake followers..

In comparison ndio nikakwambia, mfano; Msanii wa Ulaya mwenye Followers 1 Million+ ukiangalia Post zake unakuta amepata mpaka Likes Laki moja au mbili.. Ndio nikahoji hao Ghost kwa uwiano huo wako Tz pekee?? Mfano mwingine mdogo ili uamini hawa watu wanao fake followers, inawezekanaje Diamond mwenye base all over Africa amzidi Wema kwa Followers laki 2 tu ambaye yeye anajulikana Tanzania pekee.. Wewe unaamini hilo?? Au Wema pia ana followers kutoka nchi zingine za Africa kama Nigeria na SA??
 
Nyie mnibishana kwa nadharia ya likes, majority wa followers wengi hawapendi kulike bana,
Wewe una follow watu zaidi ya mia tano, uta double tap kila picha? Hapa watu wanalike picha za watu wao wakatibu cause wanajua mwenye account atanotice, wengine tuna like tu alietu follow back.
Fake followers wapo lakini msitake sema diamond kanunua followers....
 

Thanks, nimeielewa point yako.. bhasi itabidi mmiliki wa instagram aiboreshe teh teh.. kwamba iweze kuonyeshe idad ya viewers hata km wasipo comment wala ku like ila inaonekana idad yote waloona post,..
 
Pia instagram na twitter imesaidia wasanii kuvalidate rumours au any scandle speculated by the media, zamani mtu anachafuliwa tu kwa magazeti na inakuwa hard kwa yeye kujustify the claim, labda ahojiwe au aite press conference...
Lakini siku hzi, anapost tu kwa account and the media uses it as refference
 

Usiongee vitu kwa nadhari, instagram walitoa report ilikuwa mwezi wa 5 au 6 hivii kama sijakosea, kwamba wamefikisha watumiaji active waliotimia idadi ya milioni mia 3..

Wakati huohuo walitoa accounts ambazo zilikuwa ni spam na fake zooooote na Tanzania diamond wala wema hawakupungukiwa na followers hata 2000, ila justin bieber na kim kadarshian ndio walioongoza kupungukiwa na watu wengi, kwa Bieber walikuwa kaa mil. 2.5

Na mwezi wa 9 hivii walikuja kufanya tena cleaning na hapo hakuna alieathirika kiivo inamaana kwa sasa e erything is under control. Kusema mtu anaweza kujiongezea followers fake, hakuna hicho kitu ila likes unaweza ukajiongezea hadi zizidi idadi ya followers wako.

Utofauti wa wenzetu na sisi ni kuwa wao wapo active zaidi kwenye mitandao kuliko sisi, japo tatizo lipo pale pale. Ukiangalia beyonce ana zaidi ya followers mil. 52 ila likes anazopata ni kama mil 1 sasa jiulize hao mil 51 wapo wapi???? na sio kama hawapo active, ni kwa muda fulani tu na ujuwe tu insta sio kama watsaapa kusema uingie mara mia kwa siku, ninaweza ingia mara 2 tu, afu post nyingi zinakuwa zimenipita.. Ndio maana nikatoa mfano wa views na likes youtube ujuwe kuwa wengi hatuna hulka ya kulike
 

Words bro
 

Thanks for clarification!
 

Jay z hayupo insta
 


Weka hiyo Link waliyosema wamefanya cleaning... Maneno matupu hayatosaidia chochote..
 

Nimemfollow diamond lakini huwa si like wala kucomment anacho post mapaka kiniguse ndo nafanya hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…