Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Tasnia ya betting Tanzania imekua Sana kwa Sasa Kuna kampuni za kubeti mtandaoni zaidi ya 30. Hapa nitakuwekea list ya kampuni zote za betting . Tahadhari betting Ni mchezo wa kujifurahisha na sio ajira Wala utajiri. Cheza kwa kiwango ambacho hutaumia endepo utapoteza. Betting inaweza kukudababishia uraibu
Bofya kampuni husika kupata maelezo zaidi kuhusu kampuni hiyo(about us yake) hapa nimeweka kwa uchache
1. 888bet Tanzania , Inamilikiwa na port achia ipo pia Kenya ,Tanzania Msumbiji, Angola, Zambia , na Malawi
2. Gal sport Tanzania , ipo pia Uganda, Zambia, Msumbiji, Congo, Tanzania, Guinea na ghana
3. Betway Tanzania , ipo pia Nigeria , Tz, Ghana, South Africa, Zambia, Malawi, n.k
4. Meridianbet Tanzania, ipo pia Kenya na Tanzania
5. Pmbet Tanzania , ipo pia Kenya na Tanzania
6. Paripesa Tanzania, hii inafanya kazi nchi nyingi duniani ikiwome Tanzania .
7. Helabet Tanzania, nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi duniani
8. Betwinner Tanzania , nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi duniani
9. 888starz Tanzania , nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi duniani
10. PremierBet Tanzania, inapatikana pia Uganda, Malawi, Msumbiji na Nigeria
11. Parimatch Tanzania , inapatikana pia Nigeria, ghana , Msumbiji na Ulaya
12. 1xbet Tanzania , hii inapatikana karibu nchi zote duniani
13. Melbet Tanzania , Hii nikampuni ya kimataifa inapatikana nchi nyingi Duniani
14. Sportbet , inapatikana pia Zambia ,Kenya , Nigeria na Ghana
15. Betpawa Tanzania, inapatikana pia Kenya, Zambia,Malawi,Nigeria, Ghana,Rwanda na Uganda
16. Mbet Tanzania , inapatikana pia Congo
17. Sportpesa Tanzania ,inapatikana pia Kenya, na Italy
18. Leonbet Tanzania , inapatikana Tanzania na nchi kadhaa Ulaya
19. Sokabet Tanzania , hii inapatikana pia Kenya
20. Wasafi bet Tanzania Hili Ni tawi la kampuni ya oddi Bet Kenya
21. Betika Tanzania , hii inapatikana pia Kenya, Msumbiji na Zambia, na Ethiopia
22. Bikosport hii inapatikana Tanzania pekee yake
23. Mojabet Tanzania , hii inapatikana Tanzania na Congo , lakini sidhani Kama bado Ina operate lakini inaweza kuwa na leseni hai bado
24. Mrbet Tanzania , hii nikampuni mpaya ya kubeti Tanzania
25. Tembobet /betx , hii inapatikana Tanzania pekee yake
26. Gwala bet , hii inapatikana Tanzania pekee
27. Pigabet Tanzania , hii inapatikana Tanzania na ipo chini ya The Grand casino
28. Bonus Bet, hii inapatikana Tanzania pekee
29. Kingbet Tanzania, Hii inapatikana Tanzania pekee
30. Throne Bet Tanzania , hii inapatikana Tanzania pekee
31. BangBet hii Ni kampuni mpya ya betting ipo, TZ, KE, NG, ZM na Gh
Kampuni nyingine huendesha kasino za mtandaoni
32. Slotpesa Hii Ni kampuni ya casino za mtandaoni kwa wale wakali wa maslots, maspin and win na kila Aina ya kasino zinapatikana humo
33. Nyotacasino Hawa pia wanajihusisha na casino za mtandaoni