gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 668
- 898
Ndio ugonjwa gani huu?Kuna ndugu yangu ana Rheumatoid Arthritis. Nao tumeambiwa hauna tiba
Vidonda vya tumbo havitibiki kwa kunywa dawa, dawa inatuliza tu maumivu kwa mda flani then vinatibuka tena.Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:
1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari
Ongezeeni mengine hapo
Kisukari siyo ugonjwa. Ni mabadiliko ya kimwili ambayo hutokana na lifestyle.Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:
1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari
Ongezeeni mengine hapo
Kuna dawa nzuri za kupunguza makali ya RA ambazo nyingi ni Monoclonal Antibodies ( MABs). Tatizo ni beiKuna ndugu yangu ana Rheumatoid Arthritis. Nao tumeambiwa hauna tiba
Io namba Huo ugonjwa ukoje Mkuu4. CKD ( Chronic Kidney Disease)
5. Liver Cirrhosis
6. Heart Failure
7. Rheumatoid Arthritis
Kwa ujumla uwezo wetu wa kutibu magonjwa sugu ya kudumu ni mdogo ukilinganisha na nchi zilizoendelea. Na hii ni kwa Afrika nzima.
Kuna sababu nyingi zinachangia km vile kutumia dawa za zamani, teknolojia ya zamani, uhaba wa wataalam wazuri na vifaa tiba, kipato duni cha wagonjwa n.k
Vidonda vinatibika kwa hayo uliyosema na kupata dawa nzuri. Kuna dawa nzuri km Voquezna ila tatizo ni lile lile beiVidonda vya tumbo havitibiki kwa kunywa dawa, dawa inatuliza tu maumivu kwa mda flani then vinatibuka tena.
Vidonda vya tumbo vinatibika kwa kubadili tu life style ya maisha yako.
Mfano : kula chakula kwa wakati, kuepuka vitu vye asili ya asidi kama pili pili, tangawizi,ndimu n.k.
Kuepuka hasira zilizopitiluza, msongo wa mawazo/stress inabidi uviepuke sana.
Hapo utapona vidonda vya tumbo permanently
Ugonjwa upi?Io namba Huo ugonjwa ukoje Mkuu
UkimwiKuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:
1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari
Ongezeeni mengine hapo
Uo RAUgonjwa upi?
Ukimwi siyo ugonjwa, ni syndrome.Ukimwi
Huu ukoje?Kuna ndugu yangu ana Rheumatoid Arthritis. Nao tumeambiwa hauna tiba
Syndrome ndio Ugonjwa?Ukimwi siyo ugonjwa, ni syndrome.