miviga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2024
- 1,721
- 6,037
Uko sahihi kabisa, pia kua na njia nzuri ya kukabiliana na msongo wa mawazo.Vidonda vya tumbo havitibiki kwa kunywa dawa, dawa inatuliza tu maumivu kwa mda flani then vinatibuka tena.
Vidonda vya tumbo vinatibika kwa kubadili tu life style ya maisha yako.
Mfano : kula chakula kwa wakati, kuepuka vitu vye asili ya asidi kama pili pili, tangawizi,ndimu n.k.
Kuepuka hasira zilizopitiluza, msongo wa mawazo/stress inabidi uviepuke sana.
Hapo utapona vidonda vya tumbo permanently
Unapona kabisa