Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Ujue vinanisumbua sana aisee.Vidonda vya tumbo havitibiki kwa kunywa dawa, dawa inatuliza tu maumivu kwa mda flani then vinatibuka tena.
Vidonda vya tumbo vinatibika kwa kubadili tu life style ya maisha yako.
Mfano : kula chakula kwa wakati, kuepuka vitu vye asili ya asidi kama pili pili, tangawizi,ndimu n.k.
Kuepuka hasira zilizopitiluza, msongo wa mawazo/stress inabidi uviepuke sana.
Hapo utapona vidonda vya tumbo permanently