Vidonda vya tumbo havitibiki kwa kunywa dawa, dawa inatuliza tu maumivu kwa mda flani then vinatibuka tena.
Vidonda vya tumbo vinatibika kwa kubadili tu life style ya maisha yako.
Mfano : kula chakula kwa wakati, kuepuka vitu vye asili ya asidi kama pili pili, tangawizi,ndimu n.k.
Kuepuka hasira zilizopitiluza, msongo wa mawazo/stress inabidi uviepuke sana.
Hapo utapona vidonda vya tumbo permanently