Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Achana na Kilimanjaro??? Angalia TRA 2022 walikusanya bilioni 227 wakati mwa nza na kuwa jini 222? Ila kuna sehemu zinasikitisha yaani Lindi na Katavi bilioni 6?? wanastahili kuwa mkoa???

Arusha
415,417.6
Coast96,596.1
Dodoma190,197.6
Iringa59,935.4
Kagera94,864.3
Kigoma19,210.7
Kilimanjaro227,430.7
Lindi6,503.6
Mara99,147.9
Mbeya73,300.4
Morogoro99,545.3
Mtwara54,972.4
Mwanza221,186.2
Ruvuma19,857.0
Shinyanga33,371.8
Singida11,876.2
Tabora21,613.9
Tanga206,260.8
Rukwa20,767.9
Manyara27,900.4
Kariakoo148,393.5
Geita34,370.0
Kahama16,103.4
Katavi7,142.5
Njombe26,540.5
Simuyu9,537.8
Songwe117,166.9
Imekuwaje mbeya ime drop kiasi hicho?!
 
Imekuwaje mbeya ime drop kiasi hicho?!
Nafikiri Mbeya wanadrop baada ya mkoa kugwawanywa na kupata So gwe na Songwe tra wAnakusnya zaidi sababu ya Tunduma! ITOSHE TU KUSEMA KUSEMA ARUSHA NA KILIMANJARO WAHESHIMIWE SANA MAANA HAYA NI MAPATO TRA YASIYOHUSISHA KODI KATIKA UTALII
 
Hii tabia ya watu wa kaskazin hasa Arusha kuipambanisha na Dar kuanzia sasa IFE. Kwa Tz Dar ni Dar tu.
Tofautisha mapato ya biashara za dar na za mkoa wa dar mfano bandar hukusanya 40 ya mapato yote sasa hapo unaisifiaje dar peke yake ??? Hiyo mizigo ni ya mikoa yote .kodi ya mafuta unataka usifiwe mkoa wa dar ??? Ni sawa na ww kuamini dadoma inaifikia arusha au mwanza kwa biashara gani ? Viwanda vipi?? Ni michezo ya serikali
 
Back
Top Bottom