Kivip fafanuaHilo la Mkoa Sahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivip fafanuaHilo la Mkoa Sahau
Heading na contents haviendani, sio kila mji au wilaya yenye mapato makubwa basi kuna mzunguko mkubwa wa fedha, mapato ya halmashauri hutegemea aina ya vyanzo vilivyomo ndani ya eneo husika, nitolee mfano Chalinze, chalinze sehemu kubwa ya mapato yake yanatokana na ushuru wa kokoto, zile kokoto hazitengenezi money circulation ndani ya lile eneo kwani wamiliki wa machimbo wala sio wakazi wa chalinze, na zile kokoto haziuzwi chalinze, vivyo hivyo kwenye maeneo ya migodi inayomilikiwa na makampuni, hapo mapato yatakuwa mengi kwa upande wa halmashauri lakini sio lazima sana money circulation iwe kubwa katika eneo hiloUnaposema haiwezekani tukuelewaje na wakati huo huo unajua numbers don't lie?
Unachekesha kama sio kushangaza, ukweli ndio huo kwamba Makusanyo yana reflect economic activities za Mji husika na pia mzunguko wa pesa..
Miji Mingi hasa ya Mkoa wa Pwani licha ya udongo wake ila Ina economic mascles hususani viwanda na kilimo
Kwa taarifa Yako mwaka huu wa 2022/2023 ,Mji wa Tunduma ndio utakuwa namba 7 hapo maana Hadi Sasa hivi umekusanya Bil.9 ,hapo Bado miezi 5.
Soma hapa [emoji116]
Halmashauri ikishapata mapato inayapeleka wapi?Heading na contents haviendani, sio kila mji au wilaya yenye mapato makubwa basi kuna mzunguko mkubwa wa fedha, mapato ya halmashauri hutegemea aina ya vyanzo vilivyomo ndani ya eneo husika, nitolee mfano Chalinze, chalinze sehemu kubwa ya mapato yake yanatokana na ushuru wa kokoto, zile kokoto hazitengenezi money circulation ndani ya lile eneo kwani wamiliki wa machimbo wala sio wakazi wa chalinze, na zile kokoto haziuzwi chalinze, vivyo hivyo kwenye maeneo ya migodi inayomilikiwa na makampuni, hapo mapato yatakuwa mengi kwa upande wa halmashauri lakini sio lazima sana money circulation iwe kubwa katika eneo hilo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
HaipoKivip fafanua
PoleKivipi wakati mitaa yenu imejaa nyumbani za NHC!
Halmashauri ikishapata mapato inayapeleka wapi?
Acha wehu,hujui kitu..wanapeleka serikali kuu kununua ma-V8.
Acha wehu,hujui kitu
Darasa limeniingia. Asante.Mzee Mayala bwana.
Kwanza elewa concept hapa ni Mapato ambayo yanatokana na Vyanzo vya Halmashauri na sio vyanzo vya TRA nk..
Halmashauri ya Mji wa Geita inategemea zaidi mapato ya Mgodi kuliko Vyanzo vingine maana ni vichache sana kulinganisha na Kahama.
Kuhusu CSR ni kwamba Asilimia ndogo tuu ndio huenda Halmashauri ila the rest GGM wanaamua ikafanye specific project mfano mwaka huu wanajenga Barabara ya lami ya Geita Hadi Kahama..
Kuhusu Moshi ,kwanza elewa kwamba Kahama sio Mji mdogo kama unavyodai wewe,Kahama ni kubwa Kwa Moshi Kwa idadi ya watu na pia Kwa mapato.
Linapohusika swala la Mapato Kwa level ya Halmashauri basi Kahama Ina economic activities nyingi kuliko Mosho labda Kwa Vyanzo vya TRA.
Mwisho ukubali au usikubali namba hazidanganyi na Wala haijapitwa Leo tuu ni kitambo sana tuu..
Hiyo Moshi ukiondoa KIA na KINAPA ni zero kabisa kwenye biashara.
Pasco ukipata wasaa tembelea khm,uone mji ulivyo changanya kibiashara, ufanye mahojiano na mkurugenzi, ili upate undani wa mapato na shughuli za kiuchumi kiujumla.ndo utajua khm ni ndogo au ni kubwa.tamisemi wenyewe wanatambua kahama nikubwa ndo maana kwenye makundi ya halmashauli iko kundi A. mirad ya tactic inayo fadhiliwa na benki ya dunia kahama ipo kundi la kwanza lenye miji 12,na ni wilaya pekee kwenye hili kundi,miji mingine yote ni makao makuu ya mikoa.Darasa limeniingia. Asante.
P
Kiukweli kuna vitu unanifungua macho sikuwahi kuimagine, kwa kutoijua kwangu Kahama, nikajua mji wa Kahama utajiri wake ni Kahama Gold Mine, nilipita zamani nikaona hali ya mgodini na hali ya nje ya mgodi ni kama mbingu na dunia!. Hivyo nikahesabu maendeleo yote ya Kahama ni Kahama Gold Mine, sasa nikiangalia CSR ya Kahama Gold Mine compared na CSR ya GGM, GGM ndio wanaoongoza kwa CSR sasa iweje Kahama iipite Geita kimapato?. Nikija kuilinganisha na mji wa Moshi, Kinapa na Kia, nikaamini Kahama can't compete!.Pasco ukipata wasaa tembelea khm,uone mji ulivyo changanya kibiashara, ufanye mahojiano na mkurugenzi, ili upate undani wa mapato na shughuli za kiuchumi kiujumla.ndo utajua khm ni ndogo au ni kubwa.tamisemi wenyewe wanatambua kahama nikubwa ndo maana kwenye makundi ya halmashauli iko kundi A. mirad ya tactic inayo fadhiliwa na benki ya dunia kahama ipo kundi la kwanza lenye miji 12,na ni wilaya pekee kwenye hili kundi,miji mingine yote ni makao makuu ya mikoa.
Kiukweli kuna vitu unanifungua macho sikuwahi kuimagine, kwa kutoijua kwangu Kahama, nikajua mji wa Kahama utajiri wake ni Kahama Gold Mine, nilipita zamani nikaona hali ya mgodini na hali ya nje ya mgodi ni kama mbingu na dunia!. Hivyo nikahesabu maendeleo yote ya Kahama ni Kahama Gold Mine, sasa nikiangalia CSR ya Kahama Gold Mine compared na CSR ya GGM, GGM ndio wanaoongoza kwa CSR sasa iweje Kahama iipite Geita kimapato?. Nikija kuilinganisha na mji wa Moshi, Kinapa na Kia, nikaamini Kahama can't compete!.
Haya mambo ya kusafiria mwewe haya yanatukosesha kuijua vizuri nchi yetu, from time to time we should travel by road tuone maendeleo. Thanks for this na kiukweli ikifanywa documentary ya maendeleo ya Kahama, you never know, they might inspire the rest to follow and do what Kahama does. Naiweka Kahama kwa kuichomekea kwenye mpango kazi wangu kwa mwaka huu, na kiukweli sisi mainstream media hatuwatendei haki Watanzania kwa kutoa habari za mijini tuu na ku neglects habari za vijijini ambako ndiko kwenye wananchi.
P
True, nilikuwa nakosea sana!. Jf ni darasa sasa nafungua macho, nitatinga Kahama!.Hakika mkuu yaani ukienda kahama na geita hata innovation ya frem zao za maduka wanavyojenga ni nzuri sana!
Na kwa sasa wafanyakazi wa migodi ya Bulyanhulu ni watu wa kawaida sana kwa kuwa wachimbaji wadogo wana pesa kuliko wafanyakazi wa mgodini au tunawaita watingaji!
Ila kwa miaka ya nyuma ukionekana mfanya kazi wa mgodini ilikuwa issue kubwa ila kwa sasa hakuna kitu kama hicho!
Vijana wanamiliki mamilioni ya kutosha hela ambao mfanyakazi wa mgodini hawezi kuwa nayo
Sema jamii ya huku ya ndugu zetu wasukuma na watu wa kanda hii ya ziwa si watu wenye sifa kwa kifupi hawana kelele!
Ila mi nakili kabisa ukiwa umejifungia Dar utajidanganya sana ila maisha saizi sio kukariri Dar na miji mikubwa utakuwa inajidanganya sana na siku ukitoka ukaingia mkoa utajiona unacheza na hakuna lolote!
Mda mwingine utakuwa unaita watu washamba kumbe wewe ndo huna lolote umebakiza kubwajaja!
Hawana lolote uchawi wao wa matambiko unawaishia sasaNani kawaonea mumefilisika hakuna new investment
Sijakuelewa hapo ndio umeongea nini?Mikoa yote kiwango kimeshuka sn kwa sababu zifuatazo
1.Covid...hapa watu toka nje ya nchi wengi walisitisha safari while Covid was at its peak..so mzunguko wa dollar tz ulishuka sn.
2.misaada mingi sn ilisimama,kumbuka 90%ya fedha ya TZ we depends na misaada km hii kitu ilikisimama hakuna mzunguko wakutosha.
3.NGO nyingi sn zilikufa tena hapa ndio jana kubwa lilipo
4.vita ya Ukraine. ..ingawa hapa naona kuna siasa nyingi kuliko uhalisia
Utafiti upi? Kwani hizo takwimu za Makusanyo sio utafiti?Wameandika kwa mapenzi ya akili si utafiti
Manispaa ya kwanza kuwa nje ya Makao makuu ya Mkoa Tanzania. Rekodi ya kipekee kabisa kuwekwa na KahamaKiukweli kuna vitu unanifungua macho sikuwahi kuimagine, kwa kutoijua kwangu Kahama, nikajua mji wa Kahama utajiri wake ni Kahama Gold Mine, nilipita zamani nikaona hali ya mgodini na hali ya nje ya mgodi ni kama mbingu na dunia!. Hivyo nikahesabu maendeleo yote ya Kahama ni Kahama Gold Mine, sasa nikiangalia CSR ya Kahama Gold Mine compared na CSR ya GGM, GGM ndio wanaoongoza kwa CSR sasa iweje Kahama iipite Geita kimapato?. Nikija kuilinganisha na mji wa Moshi, Kinapa na Kia, nikaamini Kahama can't compete!.
Haya mambo ya kusafiria mwewe haya yanatukosesha kuijua vizuri nchi yetu, from time to time we should travel by road tuone maendeleo. Thanks for this na kiukweli ikifanywa documentary ya maendeleo ya Kahama, you never know, they might inspire the rest to follow and do what Kahama does. Naiweka Kahama kwa kuichomekea kwenye mpango kazi wangu kwa mwaka huu, na kiukweli sisi mainstream media hatuwatendei haki Watanzania kwa kutoa habari za mijini tuu na ku neglects habari za vijijini ambako ndiko kwenye wananchi.
P
Sensa,2022Manispaa ya kwanza kuwa nje ya Makao makuu ya Mkoa Tanzania. Rekodi ya kipekee kabisa kuwekwa na Kahama