Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Naww hujitambui kabsa maana iyo chunya na kyela unazozisifia hapo kwamba ni Bora kuriko Rungwe
Kumbe huijui mbeya vizuri iv Kuna mwaka umewahi kuona kyela au chunya zimeipita Rungwe ya magharibi mapato bila ata kunchanganya ata na ile Rungwe mashariki
Jitafakiri kwanza ndo uandike mamb yako
Mbona mara nyingi tu Rungwe huwa inapitwa kimapato na Chunya. Uwe unafuatilia Kila data za mapato zinapokuwa zikitolewa na Serikali/NBS.
 
Moja kwa Moja kwenye mada,

Leo nawajuza List ya Majiji,Miji,Manispaa na Wilaya 50 Zenye Mzunguko Mkubwa wa Hela hapa Tanzania ambazo zinafaa kwa biashara na uwekezaji..

Kigezo kinachotumika ni Makusanyo ya Mapato ya Ndani kuanzia shilingi Bilioni 4 na kuendelea kama yalivyoandaliwa na Tamisemi kwa mwaka 2021/2022.

Makusanyo hayo yanaashiria kwamba maeneo hayo yana shughuli za Kiuchumi zinazoleta pesa kwa watu na hivyo watu Wana purchasing power nzuri..

Figures are in Billions Tanzania Shilling.

1. Dar es Salaam CC=167.557

2. Dodoma CC=45.108,

3. Mwanza CC=27.688,

4. Arusha CC=24.333'

5. Tanga CC=17.392,

6. Mbeya CC=15.228,

7. Chalinze DC=10.240,

8. Mkuranga DC=10.011,

9. Kahama MC=9.957,

10. Morogoro MC=9.353,

11. Geita TC=9.024,

12. Tunduma TC =8.593,

13. Njombe TC=8.473,

14. Mufindi DC=8.232,

15. Moshi MC=7.570,

16. Tarime DC=6.718,

17.Mafinga TC=6.306,

18. Mbarali DC=6.241,

19. Rufiji DC=6.040,

20. Muleba DC=5.718,

21. Hanang' DC=5.655,

22. Mbinga DC=5.578,

23. Rungwe DC=5.521,

24.Kibaha TC=5.352,

25. Morogoro DC=5.268,

26. Geita DC=5.186,

27. Chunya DC=5.113,

28. Shinyanga MC=5.100,

29. Kilosa DC=5.093,

30. Iringa MC=5.018,

31. Kaliua DC=4.981,

32. Songea MC=4.912,

33. Ifakara TC=4.898,

34. Tabora MC=4.827,

35. Kilwa DC=4.779,

36. Mbeya DC=4.778,

37. Karatu DC=4.746,

38. Kibaha DC=4.664,

39. Msalala DC=4.634,

40. Misenyi DC=4.595,

41. Tandahimba DC=4.507,

42. Tanganyika DC=4.452,

43. Rungwe DC=4.421,

44. Tunduru DC=4.400,

45. Bagamoyo DC=4.322,

46. Singida MC=4.286,

47. Igunga DC=4.207,

48. Wanging'ombe DC=4.186,

49. Ngara DC=4.142,

50. Njombe DC=4.001..

My Take..

Mikoa ya Dsm, Pwani, Mbeya, Morogoro, Njombe na Shinyanga Wilaya zake ziko vizuri sana.👇

View attachment 2313627View attachment 2313628
Masasi haipo !!!!
 
Mkuu The Sunk Cost Fallacy, kwanza
asante kwa taarifa hii muhimu, kuna msemo unaosema numbers don't lie, kwa vile hizi ni data, data hizi zinatusaidia sana kujua mahali panapovuja, hizi data sio realistic!. Kwa vile ni data za makosanyo ya ndani, then siwezi kupinga, lakini amini usiamini hii ni index ya makusanyo lakini sio mapato, haiwezekani ka mji kadogo kama Chalinze, Mkuranga na Kahama kakawa na mapato makubwa kuliko miji mikuu ya mikoa ya Geita, Morogoro, Njombe, Moshi, Iringa etc. Kahama inapata fedha za Kahama Gold Mine, kiwango inachopata ni peanut ukilinganisha na Geita ambapo GGM wana pump in billions!. Fedha hizi hazionekani kwa sababu sio makusanyo.
Mji wa Kahama hauwezi kuwa na makusanyo kuliko mji wa Moshi!. Hii maana yake biashara nyingi za Moshi ni informality watu hawalipi kodi, huwezi kuniambia Kahama wana makusanyo zaidi ya Moshi!.

Data hizi is a good start sasa Tanzania tuanze kupima maendeleo ya maeneo mbalimbali kwa kutumia GDP na sio collections za makusanyo.
P
 
Unaposema haiwezekani tukuelewaje na wakati huo huo unajua numbers don't lie?

Unachekesha kama sio kushangaza, ukweli ndio huo kwamba Makusanyo yana reflect economic activities za Mji husika na pia mzunguko wa pesa..

Miji Mingi hasa ya Mkoa wa Pwani licha ya udongo wake ila Ina economic mascles hususani viwanda na kilimo

Kwa taarifa Yako mwaka huu wa 2022/2023 ,Mji wa Tunduma ndio utakuwa namba 7 hapo maana Hadi Sasa hivi umekusanya Bil.9 ,hapo Bado miezi 5.

Soma hapa [emoji116]
 
Mkuu The Sunk Cost Fallacy, kwanza
asante kwa taarifa hii muhimu, kuna msemo unaosema numbers don't lie, kwa vile hizi ni data, data hizi zinatusaidia sana kujua mahali panapovuja, hizi data sio realistic!. Kwa vile ni data za makosanyo ya ndani, then siwezi kupinga, lakini amini usiamini hii ni index ya makusanyo lakini sio mapato, haiwezekani ka mji kadogo kama Chalinze, Mkuranga na Kahama kakawa na mapato makubwa kuliko miji mikuu ya mikoa ya Geita, Morogoro, Njombe, Moshi, Iringa etc. Kahama inapata fedha za Kahama Gold Mine, kiwango inachopata ni peanut ukilinganisha na Geita ambapo GGM wana pump in billions!. Fedha hizi hazionekani kwa sababu sio makusanyo.
Mji wa Kahama hauwezi kuwa na makusanyo kuliko mji wa Moshi!. Hii maana yake biashara nyingi za Moshi ni informality watu hawalipi kodi, huwezi kuniambia Kahama wana makusanyo zaidi ya Moshi!.

Data hizi is a good start sasa Tanzania tuanze kupima maendeleo ya maeneo mbalimbali kwa kutumia GDP na sio collections za makusanyo.
P
Wewe mzee wangu Pascal hauijui Kahama! Labda kwa sababu unakaa Dar ila nikwambie tu hapo kahama vijana wanabiashara na pesa za kutosha! Hiyo Moshi inautalii tu na maduka ya majumbani kwao!
Huku kuna Illusions kibao za dhahabu mtu ku pata million 200 kwa vijana wa huku ni kawaida!
Ila Moshi kijana atapata milioni 200 kwa biashara gani hapo!?
Ni sawa na vijana wengi wa Dar wanaamini kutoboa ni Dar pekeake hawatembei waone watu wanavyofanya makubwa mikoani na kubaki na fikra hewa za mafanikio!
 
Vizuri kabisa....kunywa Pepsi ya baridi nitalipia
 
Unaposema haiwezekani tukuelewaje na wakati huo huo unajua numbers don't lie?
Ni kweli numbers don't lie lakini hili la mzuguko mkubwa wa pesa mji wa Kahama kuliko Geita sikubaliani nalo kwasababu mgodi wa GGM ndio unaoongoza nchini kwa CSR kubwa, 200 billions kwa mwaka poured into Geita, hayo ni mapato hata kama sio makusanyo. Hivyo hizo dataz japo ni za ukweli but sio realistic kwa maana mji wa Kahama hauwezi kuwa na economic activities za kukusanya mapato kuliko Moshi, hii inamaanisha Moshi kuna matatizo hawakusanyi mapato kikamilifu!. Nenda Kariakoo kuna machinga wana bidhaa za billions nje ya maduka ambayo ndani wanauza bidhaa hizo hizo!.

Ukiuliza hao machinga wamepata wapi mtaji kuweka bidhaa za billions, wanakuambia mtaji wao ni wa: "mali kauli", yaani wanakuwa entrusted with mali, watapeleka pesa kwa tajiri, wakiisha uza!.

Sasa nendeni watu wawili Kariakoo, kaulize bidhaa gani imebaki one item, inunue, kisha jibanze pembeni, mtume mwenzako akaulizie bidhaa ile ile, ataambiwa subiri, mtu atazunguka nyuma, atakuja na hiyo item. Kisha ingia dukani ulizia hiyo item, utaletewa, compare ilivyo na price yake ya pale nje, utagundua ni the same item different price, ukinunua dukani unauziwa bei kubwa na kupewa receipt, ukinunua nje ni bei poa bila receipt, sasa hao matajiri wanawapa machinga bidhaa kwa mali kauli ndio hao hao matajiri wenye maduka wanawatumia chinga kukwepa kodi!. TRA hii wameisha ishutukia na wanaendesha kampeni ya kamata wote
Unachekesha kama sio kushangaza, ukweli ndio huo kwamba Makusanyo yana reflect economic activities za Mji husika na pia mzunguko wa pesa.
Ni kweli lakini mji wa Kahama hauwezi kuwa na economic activities kuliko Moshi!.
Miji Mingi hasa ya Mkoa wa Pwani licha ya udongo wake ila Ina economic mascles hususani viwanda na kilimo
This is possible lakini mjini mdogo kama Kahama hauwezi kuwa na economic activities nyingi kuliko makao makuu ya mkoa wake!.
Kwa taarifa Yako mwaka huu wa 2022/2023 ,Mji wa Tunduma ndio utakuwa namba 7 hapo maana Hadi Sasa hivi umekusanya Bil.9 ,hapo Bado miezi 5.
Kwa Tunduma it's possible maana ndio the busiest border post lakini hii ya Kahama kuipita Moshi, sikubali, inamaana maduka yote yale ya Moshi ni Chinga?.
P
 
Ni kweli numbers don't lie lakini hili la mzuguko mkubwa wa pesa mji wa Kahama kuliko Geita sikubaliani nalo kwasababu mgodi wa GGM ndio unaoongoza nchini kwa CSR kubwa, 200 billions kwa mwaka poured into Geita, hayo ni mapato hata kama sio makusanyo. Hivyo hizo dataz japo ni za ukweli but sio realistic kwa maana mji wa Kahama hauwezi kuwa na economic activities za kukusanya mapato kuliko Moshi, hii inamaanisha Moshi kuna matatizo hawakusanyi mapato kikamilifu!. Nenda Kariakoo kuna machinga wana bidhaa za billions nje ya maduka ambayo ndani wanauza bidhaa hizo hizo!.

Ukiuliza hao machinga wamepata wapi mtaji kuweka bidhaa za billions, wanakuambia mtaji wao ni wa: "mali kauli", yaani wanakuwa entrusted with mali, watapeleka pesa kwa tajiri, wakiisha uza!.

Sasa nendeni watu wawili Kariakoo, kaulize bidhaa gani imebaki one item, inunue, kisha jibanze pembeni, mtume mwenzako akaulizie bidhaa ile ile, ataambiwa subiri, mtu atazunguka nyuma, atakuja na hiyo item. Kisha ingia dukani ulizia hiyo item, utaletewa, compare ilivyo na price yake ya pale nje, utagundua ni the same item different price, ukinunua dukani unauziwa bei kubwa na kupewa receipt, ukinunua nje ni bei poa bila receipt, sasa hao matajiri wanawapa machinga bidhaa kwa mali kauli ndio hao hao matajiri wenye maduka wanawatumia chinga kukwepa kodi!. TRA hii wameisha ishutukia na wanaendesha kampeni ya kamata wote

Ni kweli lakini mji wa Kahama hauwezi kuwa na economic activities kuliko Moshi!.

This is possible lakini mjini mdogo kama Kahama hauwezi kuwa na economic activities nyingi kuliko makao makuu ya mkoa wake!.

Kwa Tunduma it's possible maana ndio the busiest border post lakini hii ya Kahama kuipita Moshi, sikubali, inamaana maduka yote yale ya Moshi ni Chinga?.
P
Point [emoji120][emoji106][emoji106]
 
Wewe mzee wangu Pascal hauijui Kahama! Labda kwa sababu unakaa Dar ila nikwambie tu hapo kahama vijana wanabiashara na pesa za kutosha! Hiyo Moshi inautalii tu na maduka ya majumbani kwao!
Huku kuna Illusions kibao za dhahabu mtu ku pata million 200 kwa vijana wa huku ni kawaida!
Ila Moshi kijana atapata milioni 200 kwa biashara gani hapo!?
Ni sawa na vijana wengi wa Dar wanaamini kutoboa ni Dar pekeake hawatembei waone watu wanavyofanya makubwa mikoani na kubaki na fikra hewa za mafanikio!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123]
 
Ni kweli numbers don't lie lakini hili la mzuguko mkubwa wa pesa mji wa Kahama kuliko Geita sikubaliani nalo kwasababu mgodi wa GGM ndio unaoongoza nchini kwa CSR kubwa, 200 billions kwa mwaka poured into Geita, hayo ni mapato hata kama sio makusanyo. Hivyo hizo dataz japo ni za ukweli but sio realistic kwa maana mji wa Kahama hauwezi kuwa na economic activities za kukusanya mapato kuliko Moshi, hii inamaanisha Moshi kuna matatizo hawakusanyi mapato kikamilifu!. Nenda Kariakoo kuna machinga wana bidhaa za billions nje ya maduka ambayo ndani wanauza bidhaa hizo hizo!.

Ukiuliza hao machinga wamepata wapi mtaji kuweka bidhaa za billions, wanakuambia mtaji wao ni wa: "mali kauli", yaani wanakuwa entrusted with mali, watapeleka pesa kwa tajiri, wakiisha uza!.

Sasa nendeni watu wawili Kariakoo, kaulize bidhaa gani imebaki one item, inunue, kisha jibanze pembeni, mtume mwenzako akaulizie bidhaa ile ile, ataambiwa subiri, mtu atazunguka nyuma, atakuja na hiyo item. Kisha ingia dukani ulizia hiyo item, utaletewa, compare ilivyo na price yake ya pale nje, utagundua ni the same item different price, ukinunua dukani unauziwa bei kubwa na kupewa receipt, ukinunua nje ni bei poa bila receipt, sasa hao matajiri wanawapa machinga bidhaa kwa mali kauli ndio hao hao matajiri wenye maduka wanawatumia chinga kukwepa kodi!. TRA hii wameisha ishutukia na wanaendesha kampeni ya kamata wote

Ni kweli lakini mji wa Kahama hauwezi kuwa na economic activities kuliko Moshi!.

This is possible lakini mjini mdogo kama Kahama hauwezi kuwa na economic activities nyingi kuliko makao makuu ya mkoa wake!.

Kwa Tunduma it's possible maana ndio the busiest border post lakini hii ya Kahama kuipita Moshi, sikubali, inamaana maduka yote yale ya Moshi ni Chinga?.
P
Mzee Mayala bwana.

Kwanza elewa concept hapa ni Mapato ambayo yanatokana na Vyanzo vya Halmashauri na sio vyanzo vya TRA nk..

Halmashauri ya Mji wa Geita inategemea zaidi mapato ya Mgodi kuliko Vyanzo vingine maana ni vichache sana kulinganisha na Kahama.

Kuhusu CSR ni kwamba Asilimia ndogo tuu ndio huenda Halmashauri ila the rest GGM wanaamua ikafanye specific project mfano mwaka huu wanajenga Barabara ya lami ya Geita Hadi Kahama..

Kuhusu Moshi ,kwanza elewa kwamba Kahama sio Mji mdogo kama unavyodai wewe,Kahama ni kubwa Kwa Moshi Kwa idadi ya watu na pia Kwa mapato.

Linapohusika swala la Mapato Kwa level ya Halmashauri basi Kahama Ina economic activities nyingi kuliko Mosho labda Kwa Vyanzo vya TRA.

Mwisho ukubali au usikubali namba hazidanganyi na Wala haijapitwa Leo tuu ni kitambo sana tuu..

Hiyo Moshi ukiondoa KIA na KINAPA ni zero kabisa kwenye biashara.
 
Mzee Mayala bwana.

Kwanza elewa concept hapa ni Mapato ambayo yanatokana na Vyanzo vya Halmashauri na sio vyanzo vya TRA nk..

Kwanza Kwenye ranking Geita Iko Juu ya Kahama hakuna mahali nimesema Kahama imeizidi Geita.

Kuhusu CSR ni kwamba Asilimia ndogo tuu ndio huenda Halmashauri ila the rest GGM wanaamua ikafanye specific project mfano mwaka huu wanajenga Barabara ya lami ya Geita Hadi Kahama..

Kuhusu Moshi ,kwanza elewa kwamba Kahama sio Mji mdogo kama unavyodai wewe,Kahama ni kubwa Kwa Moshi Kwa idadi ya watu na pia Kwa mapato.

Linapohusika swala la Mapato Kwa level ya Halmashauri basi Kahama Ina economic activities nyingi kuliko Mosho labda Kwa Vyanzo vya TRA.

Mwisho ukubali au usikubali namba hazidanganyi na Wala haijapitwa Leo tuu ni kitambo sana tuu..

Hiyo Moshi ukiondoa KIA na KINAPA ni zero kabisa kwenye biashara.
Kahama inapigwa vita sana,yaani siku ikipandishwa kua mkoa miji mingi itapigwa bao.hivi tu ni wilaya lakini ina shindanishwa na miji makao makuu ya mikoa.kuhusu ukubwa,kahama mc inaanzia kagongwa mpamjin ni 20 km,idadi ya watu nikubwa na inaongezeka kila kukicha,biashara ndo usiseme benk zinaongezeka equity na kcb za kenya wamefungua brach zao khm,kumbuka kuna refinary na bandali kavu inakuja,hizi zita chochea biashara zaidi.mosh inaizd kahama magorofa na barabara tu.
 
Magorofa binafsi ua NHC mzee! Kahama ina gorofa nyingi mpya na zinachipuka kila siku na nyingi ni za wabongo wazawa!! Wewe ukisikiaga Tanga au Arusha inaizidi magorofa Mwanza unadhania ni gorofa za watu binafsi nyingi ni za NHC!

Arusha usifananishe na Mwanza,unajiaibisha
 
Hilo la Mkoa Sahau
 
Back
Top Bottom