Orodha ya majina ya mateka 33 wa Israel watakaoachiwa huru na magaidi ya hamas kuanzia Jumapili Januari 19, 2025

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Orodha kamili ya majina hapo chini, tafadhali mtaarifu mwenzako

Mungu ibariki Israel
Sabato njema

Romi Gonen, 23
Emily Damari, 27
Arbel Yehud, 29
Doron Steinbrecher, 31
Ariel Bibas, 5
Kfir Bibas, 2
Shiri Silberman Bibas, 33
Liri Albag, 19
Karina Ariev, 20
Agam Berger, 21
Danielle Gilboa, 20
Naama Levy, 20
Ohad Ben-Ami, 58
Gadi Moshe Moses, 80
Keith Siegel, 65
Ofer Calderon, 54
Eli Sharabi, 52
Itzik Elgarat, 70
Shlomo Mansour, 86
Ohad Yahalomi, 50
Oded Lifshitz, 84
Tsahi Idan, 50
Hisham al-Sayed, 36
Yarden Bibas, 35
Sagui Dekel-Chen, 36
Yair Horn, 46
Omer Wenkert, 23
Sasha Trufanov, 28
Eliya Cohen, 27
Or Levy, 34
Avera Mengistu, 38
Tal Shoham, 39
Omer Shem-Tov, 22
Bunge la Israeln si wamekataa umetuambia imekuaje tena?
 
Hawa wafungwa wote walikuwa wamekaa wapi wasijulikane walipo mpaka leo,pamoja na Israel kubomoa majengo na kuua watu wasio na hatia walishindwa kabisa kuwakomboa hawa mateka.

Imagine hapo kuna mtoto wa miaka miwili ambaye yeye na mama yake na ndugu yake walitekwa yeye akiwa na mwaka mmoja,leo hii ana miaka miwili IDF imeshindwa kujua alipo kwa siku zote hizo
 
Hawa mateka ni wengi sana. Inawezekana vipi magaidi wateke watu wengi kiasi hiki wasipate upinzani? Magaidi walikuwa wangapi kuteka watu hawa? Walitumia silaha gani? Wapi waliwahifadhi kwa muda wote huu na walikuwa wanawapa chakula kama wafungwa?
 
Ni mipango yote hiyo ili Kufanya Mauaji Vile Ipendavyo.

Inafikirisha Israel iliyopiga hatua kubwa katika Ujasusi na intelijensia Wameshindwa Kuwakomboa Waisraeli waliopo Hapo Jirani Na kwao(Gaza) ila Waliweza Kuwakomboa Watu wao Kule Uganda.

Inafikirisha Sana kuanzia huo Utekaji wenyewe wa Hamas Kisha Kile ambacho Israel imefanya pale Gaza nashangaa eti nasikia bado Hamas wapo tena wana Nguvu ya Kushikilia mateka na Kutoa Masharti yao.

Hao Hamas Huwa Wanakuwa Wapi Ni pale pale Gaza Au kuna Sehemu nyengine??

Gaza ndio inaongoza sasa kwa kuwa na Watoto waliokatwa Viungo (amputed) Kutokana na Athari ya Milipuko pia Watoto wengi Wameuliwa Sasa najiuliza Vita ni Israel na Watoto au Israel na Hamas??.

Sasa Israel imeshaanza kutosheka na Damu waliyomwaga pale Gaza sasa Wanawafuata Watu wao walioidanganya Dunia kuwa Walitekwa na Hamas kuwarudisha Nyumbani.
 
Simple tuu ni kwamba Israel iliwaruhusu Hamas wawateke hao mateka alafu iwe kigezo cha Yeye kusema ule msemo wao maarufu kwamba "Israel ina haki ya kujilinda".

Siku Wapalestina wakiachana na Hamas na Kufuata Tamaduni zao Za asili basi Watapata ukombozi.
 
Washenzi wakubwa! Gaidi ni zaidi ya shetani; walaaniwe duniani na kuzimu.
Wameshaaa kupata laana yako imeanzia marekani adi Leo bado wanazima MOTO UN inawatambua wapalestina kama wapigania uhuru magaid na Netanyahu na wenzie wenye kusakwa na ICC tunajua mumeumia kujua Israel imeumbishwa kuwa inamaguvu leo imeumbuka mchana kweupe kuwa ni wachovu kaka ww tu wa uko uyole ndani ndani pole kunywa maji mengi tukiwaambiaga waisrael OG sio awa nyinyi mmekaza mafufu yenu awa wazungu wa Ulaya.. ona sasa ulivochafukwa!!!!!
 
Ni mipango yote hiyo ili Kufanya Mauaji Vile Ipendavyo.

Inafikirisha Israel iliyopiga hatua kubwa katika Ujasusi na intelijensia Wameshindwa Kuwakomboa Waisraeli waliopo Hapo Jirani Na kwao(Gaza) ila Waliweza Kuwakomboa Watu wao Kule Uganda.

Inafikirisha Sana kuanzia huo Utekaji wenyewe wa Hamas Kisha Kile ambacho Israel imefanya pale Gaza nashangaa eti nasikia bado Hamas wapo tena wana Nguvu ya Kushikilia mateka na Kutoa Masharti yao.

Hao Hamas Huwa Wanakuwa Wapi Ni pale pale Gaza Au kuna Sehemu nyengine??

Gaza ndio inaongoza sasa kwa kuwa na Watoto waliokatwa Viungo (amputed) Kutokana na Athari ya Milipuko pia Watoto wengi Wameuliwa Sasa najiuliza Vita ni Israel na Watoto au Israel na Hamas??.

Sasa Israel imeshaanza kutosheka na Damu waliyomwaga pale Gaza sasa Wanawafuata Watu wao walioidanganya Dunia kuwa Walitekwa na Hamas kuwarudisha Nyumbani.
Ndugu yangu izi story za Entebe sijui vita siku 6 imashabaainika ilikuwa ni propaganda vita ya siku 6 waliopigana ni marekani na UK kama sasa ni wao ndio walikuwa wanapigana na HAMAS kwa mgongo wa IDF waisrael wanaume wengi mashoga wataweza kushika mtutu!!!!! Kwasas zile story hoooo vita siku6 mwarabu na Israel haaaaaaa yani Misri ikalishwe na awa mashoga!!!!! ULAYA na marekan ndio wanaifadhili iyo Israel kivita wanapiganaji silaha lkn ki Madia wanataka dunia ijue zile nguvu ni za israel!!!!!! Ndio mana unaona wachungaji wemeweka flag ya Israel wakiamini ni Taifa lenye miguvu sana wanaweza ata kupigana na Dunia!!!!
 
Simple tuu ni kwamba Israel iliwaruhusu Hamas wawateke hao mateka alafu iwe kigezo cha Yeye kusema ule msemo wao maarufu kwamba "Israel ina haki ya kujilinda".

Siku Wapalestina wakiachana na Hamas na Kufuata Tamaduni zao Za asili basi Watapata ukombozi.
Hebu tuondolee mawazo ya kijinga hapa
 
Ni mipango yote hiyo ili Kufanya Mauaji Vile Ipendavyo.

Inafikirisha Israel iliyopiga hatua kubwa katika Ujasusi na intelijensia Wameshindwa Kuwakomboa Waisraeli waliopo Hapo Jirani Na kwao(Gaza) ila Waliweza Kuwakomboa Watu wao Kule Uganda.

Inafikirisha Sana kuanzia huo Utekaji wenyewe wa Hamas Kisha Kile ambacho Israel imefanya pale Gaza nashangaa eti nasikia bado Hamas wapo tena wana Nguvu ya Kushikilia mateka na Kutoa Masharti yao.

Hao Hamas Huwa Wanakuwa Wapi Ni pale pale Gaza Au kuna Sehemu nyengine??

Gaza ndio inaongoza sasa kwa kuwa na Watoto waliokatwa Viungo (amputed) Kutokana na Athari ya Milipuko pia Watoto wengi Wameuliwa Sasa najiuliza Vita ni Israel na Watoto au Israel na Hamas??.

Sasa Israel imeshaanza kutosheka na Damu waliyomwaga pale Gaza sasa Wanawafuata Watu wao walioidanganya Dunia kuwa Walitekwa na Hamas kuwarudisha Nyumbani.
Tatizo ulidanganywa kuhusu uwezo wa israel,mateka wengine waliuawa kwa mashambulizi yao
 
Hawa wafungwa wote walikuwa wamekaa wapi wasijulikane walipo mpaka leo,pamoja na Israel kubomoa majengo na kuua watu wasio na hatia walishindwa kabisa kuwakomboa hawa mateka.

Imagine hapo kuna mtoto wa miaka miwili ambaye yeye na mama yake na ndugu yake walitekwa yeye akiwa na mwaka mmoja,leo hii ana miaka miwili IDF imeshindwa kujua alipo kwa siku zote hizo
na pia wapo vibabu wa miaka 86 na 84 hapo kwenye orodha bila shaka wametunzwa vyema
 
Simple tuu ni kwamba Israel iliwaruhusu Hamas wawateke hao mateka alafu iwe kigezo cha Yeye kusema ule msemo wao maarufu kwamba "Israel ina haki ya kujilinda".

Siku Wapalestina wakiachana na Hamas na Kufuata Tamaduni zao Za asili basi Watapata ukombozi.
Ndo mnavutaka iwe
 
Mazayuni wahuni wahuni tu hamna kitu pale lile ni genge la kutafuna ruzuku na kodi za wamarekani, toka lini nchi ndogo kama ile ikawa na pesa ndefu, ndege za kimarekani? Hapo ni dampo la wanasiasa nguli na madalali wa kiyahudi US watakuja kuamka too late
 
Back
Top Bottom