Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Bunge la Israeln si wamekataa umetuambia imekuaje tena?Wadau hamjamboni nyote?
Orodha kamili ya majina hapo chini, tafadhali mtaarifu mwenzako
Mungu ibariki Israel
Sabato njema
Romi Gonen, 23
Emily Damari, 27
Arbel Yehud, 29
Doron Steinbrecher, 31
Ariel Bibas, 5
Kfir Bibas, 2
Shiri Silberman Bibas, 33
Liri Albag, 19
Karina Ariev, 20
Agam Berger, 21
Danielle Gilboa, 20
Naama Levy, 20
Ohad Ben-Ami, 58
Gadi Moshe Moses, 80
Keith Siegel, 65
Ofer Calderon, 54
Eli Sharabi, 52
Itzik Elgarat, 70
Shlomo Mansour, 86
Ohad Yahalomi, 50
Oded Lifshitz, 84
Tsahi Idan, 50
Hisham al-Sayed, 36
Yarden Bibas, 35
Sagui Dekel-Chen, 36
Yair Horn, 46
Omer Wenkert, 23
Sasha Trufanov, 28
Eliya Cohen, 27
Or Levy, 34
Avera Mengistu, 38
Tal Shoham, 39
Omer Shem-Tov, 22
Walikataa ila sasa wamekubali baada ya kuridhika na makubalianoBunge la Israeln si wamekataa umetuambia imekuaje tena?
Hawa wafungwa wote walikuwa wamekaa wapi wasijulikane walipo mpaka leo,pamoja na Israel kubomoa majengo na kuua watu wasio na hatia walishindwa kabisa kuwakomboa hawa mateka.Wadau hamjamboni nyote?
Orodha kamili ya majina hapo chini, tafadhali mtaarifu mwenzako
Mungu ibariki Israel
Sabato njema
Romi Gonen, 23
Emily Damari, 27
Arbel Yehud, 29
Doron Steinbrecher, 31
Ariel Bibas, 5
Kfir Bibas, 2
Shiri Silberman Bibas, 33
Liri Albag, 19
Karina Ariev, 20
Agam Berger, 21
Danielle Gilboa, 20
Naama Levy, 20
Ohad Ben-Ami, 58
Gadi Moshe Moses, 80
Keith Siegel, 65
Ofer Calderon, 54
Eli Sharabi, 52
Itzik Elgarat, 70
Shlomo Mansour, 86
Ohad Yahalomi, 50
Oded Lifshitz, 84
Tsahi Idan, 50
Hisham al-Sayed, 36
Yarden Bibas, 35
Sagui Dekel-Chen, 36
Yair Horn, 46
Omer Wenkert, 23
Sasha Trufanov, 28
Eliya Cohen, 27
Or Levy, 34
Avera Mengistu, 38
Tal Shoham, 39
Omer Shem-Tov, 22
Ni mipango yote hiyo ili Kufanya Mauaji Vile Ipendavyo.Hawa wafungwa wote walikuwa wamekaa wapi wasijulikane walipo mpaka leo,pamoja na Israel kubomoa majengo na kuua watu wasio na hatia walishindwa kabisa kuwakomboa hawa mateka.
Imagine hapo kuna mtoto wa miaka miwili ambaye yeye na mama yake na ndugu yake walitekwa yeye akiwa na mwaka mmoja,leo hii ana miaka miwili IDF imeshindwa kujua alipo kwa siku zote hizo
Simple tuu ni kwamba Israel iliwaruhusu Hamas wawateke hao mateka alafu iwe kigezo cha Yeye kusema ule msemo wao maarufu kwamba "Israel ina haki ya kujilinda".Hawa mateka ni wengi sana. Inawezekana vipi magaidi wateke watu wengi kiasi hiki wasipate upinzani? Magaidi walikuwa wangapi kuteka watu hawa? Walitumia silaha gani? Wapi waliwahifadhi kwa muda wote huu na walikuwa wanawapa chakula kama wafungwa?
Sasa mbona ujawataarifu wasomaji wako kuwa Bunge lapitisha mkataba??Walikataa ila sasa wamekubali baada ya kuridhika na makubaliano
Wameshaaa kupata laana yako imeanzia marekani adi Leo bado wanazima MOTO UN inawatambua wapalestina kama wapigania uhuru magaid na Netanyahu na wenzie wenye kusakwa na ICC tunajua mumeumia kujua Israel imeumbishwa kuwa inamaguvu leo imeumbuka mchana kweupe kuwa ni wachovu kaka ww tu wa uko uyole ndani ndani pole kunywa maji mengi tukiwaambiaga waisrael OG sio awa nyinyi mmekaza mafufu yenu awa wazungu wa Ulaya.. ona sasa ulivochafukwa!!!!!Washenzi wakubwa! Gaidi ni zaidi ya shetani; walaaniwe duniani na kuzimu.
Ndugu yangu izi story za Entebe sijui vita siku 6 imashabaainika ilikuwa ni propaganda vita ya siku 6 waliopigana ni marekani na UK kama sasa ni wao ndio walikuwa wanapigana na HAMAS kwa mgongo wa IDF waisrael wanaume wengi mashoga wataweza kushika mtutu!!!!! Kwasas zile story hoooo vita siku6 mwarabu na Israel haaaaaaa yani Misri ikalishwe na awa mashoga!!!!! ULAYA na marekan ndio wanaifadhili iyo Israel kivita wanapiganaji silaha lkn ki Madia wanataka dunia ijue zile nguvu ni za israel!!!!!! Ndio mana unaona wachungaji wemeweka flag ya Israel wakiamini ni Taifa lenye miguvu sana wanaweza ata kupigana na Dunia!!!!Ni mipango yote hiyo ili Kufanya Mauaji Vile Ipendavyo.
Inafikirisha Israel iliyopiga hatua kubwa katika Ujasusi na intelijensia Wameshindwa Kuwakomboa Waisraeli waliopo Hapo Jirani Na kwao(Gaza) ila Waliweza Kuwakomboa Watu wao Kule Uganda.
Inafikirisha Sana kuanzia huo Utekaji wenyewe wa Hamas Kisha Kile ambacho Israel imefanya pale Gaza nashangaa eti nasikia bado Hamas wapo tena wana Nguvu ya Kushikilia mateka na Kutoa Masharti yao.
Hao Hamas Huwa Wanakuwa Wapi Ni pale pale Gaza Au kuna Sehemu nyengine??
Gaza ndio inaongoza sasa kwa kuwa na Watoto waliokatwa Viungo (amputed) Kutokana na Athari ya Milipuko pia Watoto wengi Wameuliwa Sasa najiuliza Vita ni Israel na Watoto au Israel na Hamas??.
Sasa Israel imeshaanza kutosheka na Damu waliyomwaga pale Gaza sasa Wanawafuata Watu wao walioidanganya Dunia kuwa Walitekwa na Hamas kuwarudisha Nyumbani.
Hebu tuondolee mawazo ya kijinga hapaSimple tuu ni kwamba Israel iliwaruhusu Hamas wawateke hao mateka alafu iwe kigezo cha Yeye kusema ule msemo wao maarufu kwamba "Israel ina haki ya kujilinda".
Siku Wapalestina wakiachana na Hamas na Kufuata Tamaduni zao Za asili basi Watapata ukombozi.
Nawe pia ulaaniwe.Washenzi wakubwa! Gaidi ni zaidi ya shetani; walaaniwe duniani na kuzimu.
Tatizo ulidanganywa kuhusu uwezo wa israel,mateka wengine waliuawa kwa mashambulizi yaoNi mipango yote hiyo ili Kufanya Mauaji Vile Ipendavyo.
Inafikirisha Israel iliyopiga hatua kubwa katika Ujasusi na intelijensia Wameshindwa Kuwakomboa Waisraeli waliopo Hapo Jirani Na kwao(Gaza) ila Waliweza Kuwakomboa Watu wao Kule Uganda.
Inafikirisha Sana kuanzia huo Utekaji wenyewe wa Hamas Kisha Kile ambacho Israel imefanya pale Gaza nashangaa eti nasikia bado Hamas wapo tena wana Nguvu ya Kushikilia mateka na Kutoa Masharti yao.
Hao Hamas Huwa Wanakuwa Wapi Ni pale pale Gaza Au kuna Sehemu nyengine??
Gaza ndio inaongoza sasa kwa kuwa na Watoto waliokatwa Viungo (amputed) Kutokana na Athari ya Milipuko pia Watoto wengi Wameuliwa Sasa najiuliza Vita ni Israel na Watoto au Israel na Hamas??.
Sasa Israel imeshaanza kutosheka na Damu waliyomwaga pale Gaza sasa Wanawafuata Watu wao walioidanganya Dunia kuwa Walitekwa na Hamas kuwarudisha Nyumbani.
na pia wapo vibabu wa miaka 86 na 84 hapo kwenye orodha bila shaka wametunzwa vyemaHawa wafungwa wote walikuwa wamekaa wapi wasijulikane walipo mpaka leo,pamoja na Israel kubomoa majengo na kuua watu wasio na hatia walishindwa kabisa kuwakomboa hawa mateka.
Imagine hapo kuna mtoto wa miaka miwili ambaye yeye na mama yake na ndugu yake walitekwa yeye akiwa na mwaka mmoja,leo hii ana miaka miwili IDF imeshindwa kujua alipo kwa siku zote hizo
Ndo mnavutaka iweSimple tuu ni kwamba Israel iliwaruhusu Hamas wawateke hao mateka alafu iwe kigezo cha Yeye kusema ule msemo wao maarufu kwamba "Israel ina haki ya kujilinda".
Siku Wapalestina wakiachana na Hamas na Kufuata Tamaduni zao Za asili basi Watapata ukombozi.
Gaidi yupi? Hamas au Israel?Washenzi wakubwa! Gaidi ni zaidi ya shetani; walaaniwe duniani na kuzimu.