Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Ni mbaya kwa nani? Vigezo vya huo ubaya ni vipi? Tuanzie hapo1.Wachaga
2.Wakurya
3.wasukuma
4.Wamasai
5.Wanyakyusa
6.wahaya
7.Wajita
8.wasambaa
9.wapare
10.waha
Ni mbaya kwa nani? Vigezo vya huo ubaya ni vipi? Tuanzie hapo1.Wachaga
2.Wakurya
3.wasukuma
4.Wamasai
5.Wanyakyusa
6.wahaya
7.Wajita
8.wasambaa
9.wapare
10.waha
11. WazanakiWale wawindaji wa kule Manyara (wao ni pori kwa pori tu) unadhani kuwa rafudhi (lafudhi)yao ni mbaya,mbaya kwao ama kwako?
Kama ni mbaya kwako,unadhani wao wanapata athari gani kiuchumi,kiafya hata kitamaduni?
Kawasahau wahadzabeMbona kama umetaja makabila makubwa na maarufu Tanzania. Yapo makabila zaidi ya 100+. Hayo mengine umechunguza?
nawapenda sana wahaya, ila ukimkuta yule halisi akaongea komombo, kinachekesha sana.1.Wachaga
2.Wakurya
3.wasukuma
4.Wamasai
5.Wanyakyusa
6.wahaya
7.Wajita
8.wasambaa
9.wapare
10.waha
Wanaongea Hadi niitikie mara mbili mbili ili niwaelewe😆😆Waluguru hao itakua
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀1.Wachaga
2.Wakurya
3.wasukuma
4.Wamasai
5.Wanyakyusa
6.wahaya
7.Wajita
8.wasambaa
9.wapare
10.waha