Orodha ya mambo ya uongo na uzushi kwenye siasa za Tanzania

Orodha ya mambo ya uongo na uzushi kwenye siasa za Tanzania

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Hapa tutakua tunaweka mambo ambayo yalivuma mno baadae tukaja kugundua kumbe ni uzushi mtupu.. kwenye siasa zetu za Tanzania...

Nitaanza na haya:

1. Riziwani Kikwete akamatwa na madawa huko China.

Hili lilivuma hadi watu usiotarajia nao kuchotwa.

2. Sumaye ni bilionea anamiliki hadi kampuni ya ndege ya Precision, uzushi mtupu..

Mengine mtaongezea.
 
3. Kila kituo cha mafuta kipya ni cha ridhiwani
4. Kinana anauza pembe za ndovu
5. Kikwete ameiuza kigamboni kwa wamarekani
6. Cuf walishinda chaguzi zote zanzibar
7. Kila jengo jipya la ghorofa mjini la Sitti.
 
Chadema ndio waliopanga kumuua Lissu na Wangwe.
 
Back
Top Bottom