Orodha ya mambo ya uongo na uzushi kwenye siasa za Tanzania

Orodha ya mambo ya uongo na uzushi kwenye siasa za Tanzania

Uwanja wa ndege wajengwa huko CHATO, kumbe ni uzushi mtupu
. wanyama pori wasombwa na maloli kupelekwa Buligi chato, kumbe ni uzushi mtupu
Nyumba za Serikali za uzwa kama njugu, kumbe ni uzushi mtupu
 
Utawala wa awamu ya tano umekopa tirioni 41
 
Utawala wa awamu ya tano umekopa tirioni 41
 
Hapa tutakua tunaweka mambo ambayo yalivuma mno baadae tukaja kugundua kumbe ni uzushi mtupu.. kwenye siasa zetu za Tanzania...

Nitaanza na haya:

1. Riziwani Kikwete akamatwa na madawa huko China.

Hili lilivuma hadi watu usiotarajia nao kuchotwa.

2. Sumaye ni bilionea anamiliki hadi kampuni ya ndege ya Precision, uzushi mtupu..

Mengine mtaongezea.
3. Lowasa ni fisadi mkubwa kumbe ni uongo uliopitiliza kwa maana hajawahi kushitakiwa
 
Hapa tutakua tunaweka mambo ambayo yalivuma mno baadae tukaja kugundua kumbe ni uzushi mtupu.. kwenye siasa zetu za Tanzania...

Nitaanza na haya:

1. Riziwani Kikwete akamatwa na madawa huko China.

Hili lilivuma hadi watu usiotarajia nao kuchotwa.

2. Sumaye ni bilionea anamiliki hadi kampuni ya ndege ya Precision, uzushi mtupu..

Mengine mtaongezea.
Magufuli kaleta maendeleo tanzania. Huu ni uongo uliokubuhu.
 
3. Kila kituo cha mafuta kipya ni cha ridhiwani
4. Kinana anauza pembe za ndovu
5. Kikwete ameiuza kigamboni kwa wamarekani
6. Cuf walishinda chaguzi zote zanzibar
Hayo yote yalikuwa na vijielements za ukweli if you take time to think.
 
Back
Top Bottom